TANZIA Arusha Wing tumepata msiba wa mwenzetu Freetown

Apumzike kwa amani, polen kwa familia yake yote Mungu azidi kuwapa nguvu hakika ni kipindi kigumu sana !
 
So sad!

RIP Freetown; sote tuko njiani, wewe umefika mapema.
 
Poleni sana Arusha Wing kwa msiba huu wa mwenzetu! RIP Freetown.
Ahsante Preta kwa tarifa
 
Preta, poleni kwa msiba, na Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani; Freetown.
 
Apumzike kwa amani
 
Oh dear Lord!

What went wrong tena jamani?

Poleni sana wana Arusha wing na wanaJF wote kwa ujumla

Pole nyingi kwa familia yake, ndugu jamaa na marafiki.

Mungu ampumzishe kwa amani. Haleluya tutaonana tena mbinguni kwa Bwana Mungu wa Majeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…