Wewe ni nani kuniita mpuuzi? Wapi nimesema mimi ni mungu? Wapi nimesema hii nchi ya baba yanguKwani wapi nimesema nategemea fadhili za mwanadamu kuishi?Who are you? Nchi ya babako hii wewe mpuuzi? Ungekuwa Mungu Sawa lakini wewe ni mpuuzi tu Fulani unayetegemea fadhili za mwanadamu kuishi!
Kwa tukio maalum hakuna tabu...vita vya Kagera kunasimulizi watu walilala na maiti ili waokoe maisha yao. Sasa kwa zama zile za giza unatarajia nini? Tafuta cha kuandikaKwa hiyo Hakuna shida kabisa wanaume wa chadema kuvaa baibui na Madera?
Kwa hiyo hakuna shida lema kuvaa baibui na Madera?V
Vp km ilimsaidia kukwepa maadui zake?
Mkuu,yaani uwezo wako wa kufikiria uliishia tu hapo? Mbona viongozi wengi tu wa serikali ulitumia hili vazi ktk shughuli za kipelelezi?
Kwani unafikiri hata wanawake wanavaa baibui kila sehemu? Si ni kwa matukio maalum, au unafikiri wakienda bar wanaenda na baibui?Kwa tukio maalum hakuna tabu...vita vya Kagera kunasimulizi watu walilala na maiti ili waokoe maisha yao. Sasa kwa zama zile za giza unatarajia nini? Tafuta cha kuandika
Anaanzaje kimfano?Hawaendeshi, naamini kabisa Prof Mkumbo hataki kabisa watoto wake waendeshe bodaboda
iyo baada ya 2050 huko labda,tena kama vijana wa kipindi icho awatakua na tabia za kishoga,kuchonga nyusi na kuvaa hereni.Katiba mpya mbunge haruhusiwi kuwa waziri
Ukishajua itakusaidia nini ....? Suala is kuilinda uhai wake wewe unautakia nini ili iweje ? Au umetumwa?Kuna jambo limeshtua wengi sana na ningependa kujua upande wa pili wa chama wao wanaonaje kuhusiana na hilo suala. Sote tunajua baibui huvaliwa na kina nani..
Lema amekiri Amewahi Kuvaa Baibui mara kadhaa, hii kwa chadema wanaichukuliaje? Ni kawaida au chama kimeingia doa? Ikumbukwe lema ni kiongozi mkubwa wa chama.
Ningependa kujua viongozi wa chadema wanachukuliaje hili? Wanaona kawaida? Au wamefedheheka? Vipi wafuasi wa chama nao wanaona kawaida au wamefedheheka?
Swali pia ambalo ningependa kujua, Kama alikua akivaa mabaibui na Madera, ni mangapi amefanya akiwa kwenye mavazi hayo?
Ni maswali ya kupenda kujua zaidi, pia Kama tukijulishwa hakuna ubaya wowote basi itakua vizuri.
Usimdharau Mdude anapewa nafasi jukwaani atoe salam sio mtu mdogo yule,au kwasababu unaona kanyoa kipara ngoto!Mdude kwa alivyo chizi awe waziri??
Nchi itakua “Genge la walanguzi”
What kind of madness is this? Tanzania ni nchi huru, haibagui. Mkumbo hakupangiwa kuwa Kiongozi wala kuendelea kuongoza. Lema hakupangiwa kuwa Mbunge waka kuendelea. Iwapo Mzazi ana uwezo kwa njia yoyote ile, atamtunza mtoto wake. BABA yake Mkumbo sijui kama alikuwa Mbunge au Rais wa CCM, wala Waziri; lakini kamkuza mwanaye vizuri hadi PhD. Si hizi mali za kurithi za kina Mbowe anaenda Chuo Kikuu kuhonga watoto wa maskini kina Mkumbo, Zitto, Halima na yule Mbunge wa Mbozi juzi alimtukana hazarani kumwita Yuda eti alimnunulia chupi na suti akiwa Chuo Kikuu? Tuangalieni, wenzetu hawa bado hawajaamini sisi ni Nji moja. Kwenye kura tuwakatae, kama wakifanya fujo tumehuru wapigwetu, wakizidi CHADEMA ifutwe.Hili swali japo bado halijajibiwa na Prof Kitila Mkumbo lakini linafikirisha sana
Watoto wa Viongozi
Mungu wa mbinguni awabariki!
Mimi nimeuliza swali tu je sio doa kwa chadema? Kama mnaona wanaume kuvaa baibui na Madera sio shida basi sawaUkishajua itakusaidia nini ....? Suala is kuilinda uhai wake wewe unautakia nini ili iweje ? Au umetumwa?
Million 898Kuna jambo limeshtua wengi sana na ningependa kujua upande wa pili wa chama wao wanaonaje kuhusiana na hilo suala. Sote tunajua baibui huvaliwa na kina nani..
Lema amekiri Amewahi Kuvaa Baibui mara kadhaa, hii kwa chadema wanaichukuliaje? Ni kawaida au chama kimeingia doa? Ikumbukwe lema ni kiongozi mkubwa wa chama.
Ningependa kujua viongozi wa chadema wanachukuliaje hili? Wanaona kawaida? Au wamefedheheka? Vipi wafuasi wa chama nao wanaona kawaida au wamefedheheka?
Swali pia ambalo ningependa kujua, Kama alikua akivaa mabaibui na Madera, ni mangapi amefanya akiwa kwenye mavazi hayo?
Ni maswali ya kupenda kujua zaidi, pia Kama tukijulishwa hakuna ubaya wowote basi itakua vizuri.
Kwa sababu maalum.Swali langu kwa nn wanaume huko chadema wanavaa baibui?
Hata wanawake huvaa kwa sababu maalum. Usifikiri kila sehemu wanavaa hivyoKwa sababu maalum.
Kwa hiyo mnavaa baibui na Madera huko?Eti hawa ndiyo vijana wa CCM [emoji23][emoji23][emoji23]