DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Wewe ni nani kuniita mpuuzi? Wapi nimesema mimi ni mungu? Wapi nimesema hii nchi ya baba yanguKwani wapi nimesema nategemea fadhili za mwanadamu kuishi?Who are you? Nchi ya babako hii wewe mpuuzi? Ungekuwa Mungu Sawa lakini wewe ni mpuuzi tu Fulani unayetegemea fadhili za mwanadamu kuishi!
Acha mambo ya kiwaki boss peleka huko makasiriko yako na ndoa yako huko🚮
Usidhani unaweza kumfokea Kila mtu humu, such an idiot😡