Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwanza Bado inaongoza,

Ila mwitikio na hamasa imeongezeka sana Kila hatua ya maandamano.

Kwa tulipofikia, lazima sauti ya umma isikizwe.
kwa hapo ndio hamasa imeongezeka mara dufu sio...
 
Maandamano yamekwisha, siku imeenda, viongozi chadema wapo mahotelini, wakipata 2,3 kwa fedha za ruzuku raha mustarehe, enyi nyumbu baada ya maandamano mu hali gani?
 
Kuna watoto wengine huwa wamezaliwa na usonji au utaahira, hivyo anaweza kulia hata kama ameshiba. Hao unawaacha waendelee kulia kwa kuwa kulia kwao ndiyo tiba yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…