Gambo Wala usitishike hata kidogo huo ni ukabila tu. Siku chadema wakipewa nafasi kubwa kubwa nchi imekwisha mana ukabila ndo utatawala
Bila uwingi wa watu hakuna maandamanoYes mkuu
Wivu unaruhusiwa kwenye siasa. Maumivu yako yanafahamika kwa ukweli uliouona Leo. Hivyo maneno ya kujifariji ruksa.
Nasikia Lucas amefungwa papmasi maana hawezi kwenda chooni hajiweziUnateseka ukiwa wapi mlizani maandamano hayatafanikiwa pamoja na hujuma zenu mmefeli vibaya kidampa mkuu pale Lumumba Lucas mwashambwa Leo hata nyuzi Moja hajapandisha jukwaani
Badala ya kuchapa kazi, wanaandamana, ujinga mzito huu.
Hili nalo kalieleza nani ?Dr. Mwigulu amelieleza suala hili vizuri kweli leo hii 27/2/2024.
Tafuteni hotuba yake mtafahamu mengi sana.
Kudai HAKI zetu.Wanaamka kwenda wapi? Kwa mfano nyie wa mjini mumeamka kwenda wapi?
Erythrocyte liwekeni kwenye agenda ya mikutano tuwazoe wazee wote na prospective wastaafu kuwa KIKOKOTOO kinaua wastaafu na kuwadhulumu haki zaoNawasipo rudisha kikokotoo Cha kustaff Cha wakati wa Rais Kikwete hata wazee wataenda chadema.
Nchi inaendeshwa kqa pesa za ndani, mikopo ndiyo inayopigwa.Mbowe Kuhusu Nchi Kukopa Nje 'Hii Nchi Inaendeshwa Kwa Mikopo'
View: https://m.youtube.com/watch?v=FTh4eB8eXmc
Tatizo la nchi hii ni ujinga!"Maandamano ya kupinga dhiki"
Hii kauli inaweza kuwa ngumu sana kueleweka kwa wale ambao wameshakubali umaskini wao ni mipango ya Mungu, hao lazima wawaone Chadema wasanii.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kama ilivyoelezwa tangu awali, hatimaye ile Neema ya Maandamano ya Kupinga Ugumu wa Maisha, Dhiki na Ufukara ikiwa ni pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi Imeingia Jijini Arusha.
Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika.
Kama kawaida yetu tutakuwepo hapa kukulete kila kinachojiri.
Usiondoke JF.
View attachment 2918030View attachment 2918031Lissu kazini
View attachment 2918101View attachment 2918106View attachment 2918107View attachment 2918108
-1.png"]2918167[/ATTACH]
[CENTE polisi kazi yako ni kulinda raia
Unataka walale na kula wapi, au wamebeba vyakula na nyumba zao huko Arusha? Viongozi wa ccm wakifanya safari huko mikoani huwa wanaenda kulala na kula kwenye nyumba za wanachama? Au wanachama wa ccm wote huwa wanakusanyika huko mahotelini na kula nao? Mmepanic mpaka mmebaki kuongea utoto.Maandamano yamekwisha, siku imeenda, viongozi chadema wapo mahotelini, wakipata 2,3 kwa fedha za ruzuku raha mustarehe, enyi nyumbu baada ya maandamano mu hali gani?
Kwenye article yako, ondoa neno "mmepanic" we don't feel anything else, tunaona mnajitesa kwa jambo ambalo ni empty /zero.Unataka walale na kula wapi, au wamebeba vyakula na nyumba zao huko Arusha? Viongozi wa ccm wakifanya safari huko mikoani huwa wanaenda kulala na kula kwenye nyumba za wanachama? Au wanachama wa ccm wote huwa wanakusanyika huko mahotelini na kula nao? Mmepanic mpaka mmebaki kuongea utoto.
Mlitaka masai wazaliane hapo ligeuke jiji na uoto na mbuga itoweke?, yaani pasiwepo tena ngorongoro miaka 50 ijayo, chadema hamna akili kabisa.
Iko wapi pumzi za mwisho kwa roho kuacha mwili kupaparika ni lazima!Si mlisema achadema imekufa?
Sisi ndiyo madicteta tunao amini kwenye udicteta wa kizalendo wahuni mnatuita sukuma gangHii sampling ni Lucas style,naona umechora na cartoon za akili mbofu mbofu kwenye waslisho lako.Chadema mambo yamenyoooka hadi mtaseeeemaaa[emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Wanakuka kwa bibi yako?Badala ya kuchapa kazi, wanaandamana, ujinga mzito huu.
Wee mutu ya Livingstone huylo Maderu ni Sifuri kabisa....bora ushike Kwacha kuliko Madafu kwa sasa..Dr. Mwigulu amelieleza suala hili vizuri kweli leo hii 27/2/2024.
Tafuteni hotuba yake mtafahamu mengi sana.
Peleka ukhanithi mbali.Kwenye article yako, ondoa neno "mmepanic" we don't feel anything else, tunaona mnajitesa kwa jambo ambalo ni empty /zero.
Yeye alisema kaibiwa so kauli yake ni nzito kuliko yako 🐼