Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona hujatupia picha ndugu? Tupia picha kadhaa chap chap kuwatia moyo na wengine.
 
Kapicha
 
Tangu maandamano yaanze nini kimebadilika
 
Ndugu achaga uongo haukusaidii na ndiyo maana kuna wanazi wa siasa huwa wanawasaidia kuweka ukweli mnawakasirikia.
Unaposema "
Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika" mbona hatuoni kitu cha kututhibishia hilo au huna smartphone?.

Wakirusha drone kuwananga na uongo wako unavimba kuwa hujuma huku wewe mwenyewe unaandika hujuma kwa raia how?.
 
Mapambano daima
 
Unateseka ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…