Pre GE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Leo Arusha mvua ilikuwa kubwa lakini wafu nyoni sana.
Watu hawataki ujinga kwenye maisha yao.
IMG_20240227_131110.jpg
 
Chadema wataendelea kuangushwa na hii Katiba mbovu iliyopo, na Tume feki ya uchaguzi iliyopo, siku hivyo viwili vikiondolewa Chadema wakawa huru kutegemea kura za watanganyika, hapo ndio naamini CCM itaondoka kwenye utawala wa nchi hii.

Lakini mpaka sasa CCM hawawezi kutishika na nguvu ya maandamano inayoonekana kuwa nayo Chadema, wanajua watawaachia ubunge wa hapo Arusha Mjini, then serikali kuu wataendelea kuishikilia wao.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Dunia inabadilika kwa kasi Sana bwashee

Wizi wa kura Hata America upo ila Trump ndio huyo anarudishwa na nguvu ya Umma 😂
 
CCM ijue kwamba kwa kuendelea kutuibia Kura mwishowe Taifa litaingia kwenye migogoro isiyokuwa ya LAZIMA Mwacheni Mwananchi aamue ni Kiongozi gani anayemtaka SIASA ni NGUVU ya USHAWISHI angalieni CHADEMA kinavyopendwa kwa Moyo wa DHATI na Mtanzania.

Sio CCM inayowatisha Wafanyabiashara wa Arusha kuwa wakienda kwenye Maandamano itawatuma TRA iwabambikie Kodi.

✌️❤👈🫡
 
CCM ijue kwamba kwa kuendelea kutuibia Kura mwishowe Taifa litaingia kwenye migogoro isiyokuwa ya LAZIMA Mwacheni Mwananchi aamue ni Kiongozi gani anayemtaka Siasa ni Nguvu ya USHAWISHI angalieni CHADEMA kiavyopendwa kwa Moyo wa DHATI na Mtanzania.

[emoji3577][emoji173][emoji118]🫡

Chadema ni mpango wa mungu
 
Mwenye macho haambiwi tazama

Mlale Unono 😀
Hawajawahi kutoka mioyoni mwa watu, au siasa za dhalimu ziliwadanganya Nini? Ama umesahau kuwa kipindi chote Cha dhalimu aligoma cdm kufanya siasa, na akaishia kupora uchaguzi ili kukwepa matokeo ya kweli? Ni hivi, ccm sio chama Cha kizazi hiki, na hakitakaa kishinde tena kwa kiwango itakacho kwenye uchaguzi halali.
 
Cc.Lucas
 
Back
Top Bottom