Arusha: Yanayojiri kwenye Mapokezi ya Godbless Lema

Yaani huu ni umati wa magufuli nimeufuatilia YouTube!
Jamaa huyu erythromycin ni tapeli kweli kweli walahi
Aibu sana [emoji13]
Ndio walichobaki nacho CDM bana kila kitu ni kufanya editing tu kwenye mikutsno hola kwenye video nako wanaiba video za watu sijui wanakwama wapi
 
MBONA UMEWEKA VIDEO YA USAFIRISHAJI WA MWILI WA ALIYEKUWA RAISI (MAGUFULI?)
USIFANYE WATANZANIA HAWANA AKILI KAMA WEWE!
Ndio kuishiwa hivyo hata hao bodaboda wapewa 10000 basi ili wwje kummunga mkono basi
 
Watu huwa wanapata wapi muda wa kuchezea hivi hadi kwenda kupokea wanasiasa/michezo/wasanii airport 🤣
 
Watu wa CHADEMA huwa siku zote hamna adabu. Kila mtu kwenu kama sio wa kaskazini huwa rahisi sana kumtukana au kumzushia jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…