Arusha: Yanayojiri kwenye Mapokezi ya Godbless Lema

Arusha: Yanayojiri kwenye Mapokezi ya Godbless Lema

Yaani huu ni umati wa magufuli nimeufuatilia YouTube!
Jamaa huyu erythromycin ni tapeli kweli kweli walahi
Aibu sana [emoji13]
Ndio hivyo wanawadanganay mambo mengi sana hawa vijana na hawaoni aibu
 
Alafu kijana Erythrocyte usitufanye wengine humu ni vijana wenzako.

Unaposema utatuletea live coverage, you mean kila kinachojiri basi iwe hivyo na siyo waje JF wakaweka LIVE ndipo uzi wako upate heading NO.

Unaposema wananchi wanapeperusha bendera na matawi ya miti, hebu simu yako itumike kuonyesha hao watu, usisubiri JF iweke LIVE ili uzi wako upate heading NO.

Nowadays simu ni kila kitu, hata live ya 10sec kwa eneo ulipo itakupa credit kubwa kuliko kuhadaa watu wazima hapa!.

VIDEO: Lema awasili Tanzania
 
Ndiyo maana kaingia mitini, hata picha ya simu kachemka anataka kusema anatumia kiswaswadu!.
Yaani niingie mitini kwa ajili ya hoja zako hizo duni [emoji38][emoji38][emoji38] , itakuwa ajabu sana !
 
Leo mmejionea jinsi hawa watu walivyo waongo, walisema Magu anaua watu sijui viroba coco beach, na sasa nani anawaua watu kilasiku mauaji nchini. Ukiangalia taarifa ya habari ya kwanza had ya tano ni ya mauaji tuu, acheni uongo nyie vijana
 
Leo manka umechefukwa?
Nafahamu mmeunda vikundi kunichafua , sababu ni ile ziara kabambe ya Kanda ya Nyasa , lakini waulizeni wanaowatuma , ukitaka kunifahamu zaidi mtafute Mwakyembe akusimulie , dagaa kama nyinyi hamniwezi hata kwa kuloga , Wajinga sana nyie !
 
Leo mmejionea jinsi hawa watu walivyo waongo, walisema Magu anaua watu sijui viroba coco beach, na sasa nani anawaua watu kilasiku mauaji nchini. Ukiangalia taarifa ya habari ya kwanza had ya tano ni ya mauaji tuu, acheni uongo nyie vijana
Angalia hayo mauaji yanafanyika mkoa gani .
 
Thank you!
Leo tume tumegundua uwongo wao walahi!
Chadema hamna kitu aisee[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kwani aliyeka video ya Magufuli si ni mwenzenu ili kuvuruga uzi?
 
Yaani niingie mitini kwa ajili ya hoja zako hizo duni [emoji38][emoji38][emoji38] , itakuwa ajabu sana !
Mkuu kuingia mitini siyo kukimbia mada au kutoandika jambo.

Mfano umeingia mitini hamna update yoyote kulingana na ulivyoanzisha mada.

So tulia hapo hapo ulipo, ninakuona unavyoangaika pale Lema alipo ili upige picha unapata na kufuta maana simu yenyewe kimeo, ikiona mwanga wa jua inaharibu picha.

So ngoja uwekewe mapicha soon.
 
😂😂😂😂😂nani huyo kaiba umati wa hayati
 
Back
Top Bottom