ArushaOne, Hongera Kwa Mradi Wa Car-Wash!

ArushaOne, Hongera Kwa Mradi Wa Car-Wash!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,202
Reaction score
8,787
Shemeji yangu Lady doctor, Una taarifa na huu mradi wa Mzee Arushaone uliopo FFU kwa Moromboo?

Kwa hiyo shemegi Lady doctor, na wale wadada wawili wanaoshindaga pale kwenye Car Wash ndiyo nani wenu?

Mi huwa nasikiaga eti majina yao, mmoja sijui ni Chocs, na mwingine sijui wanamwita Heaven on Earth, mna uhusiano gani nao?....Mi nauliza tu shemegi, sina ugomvi na mtu!

2013-11-02 18.34.04.jpg
 
Attachments

  • 2013-11-02 18.34.23.jpg
    2013-11-02 18.34.23.jpg
    120.2 KB · Views: 151
Last edited by a moderator:
Sana sana ni hawa watoza ushuru waitwao TRA mkuu, wanakusanya wasichotawanya afu ki-ubabe babe...Siwapendiiii!

Umenichekesha wakusanya wasichotawanya
Kuna kampuni flani ya mabasi maarufu njia ya dar (iringa) mbeya ana mbasi yamesajiliwa majina mawili tofauti
 
PakaJimmy walau umeona wewe. Mi sitii neno ngoja tu si unaona anavyojichanganya eti wa tra mmmh haya wee.
 
Last edited by a moderator:
Shemeji PakaJimmy asante kwa taarifa nilikuwa sijui kama hubby wangu ana kitega uchumi kama hicho, na sijui kwanini alinificha......... Arushaone nahitaji maelezo ya kina kuhusu huu mradi wako.

Halafu huyo Chocs ni mke mwenzangu (mke wa Erickb52) na Heaven on Earth ni wifi angu (mke wa kaka angu figganigga) hakya mama kesho nawafukuza kazi wote haiwezekani kwa nini wasinitonye kuwa mume wangu amewaajili.
 
Usijali wife, huu ndio ule mradi nilokwambia anakuja kuuzindua rais wa Urusi Vladimir Putin mwishoni mwa mwezi huu ila leo ilikuwa majaribio tu, hence Paparazzi PakaJimmy kaja kuutangaza nami nikipania nikufanyie suprise.

Kuhusu Chocs na Heaven on Earth hao ndio walikuwa wamekuja na nilikuwa nawapa logistics kuhusu suprise yenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom