ArushaOne, Hongera Kwa Mradi Wa Car-Wash!

ArushaOne, Hongera Kwa Mradi Wa Car-Wash!

PJ naona umeamua kuweka hadharani mambo kabla hatujafikia muafaka!

Na ile miradi mingine unyamaze kwanza hivyo hivyo....mke mwenzangu asije kufa buree kwa BP!
 
Mke mwena punguza jazba


Ulikuwa ufanyiwe sapraiziii sasa PakaJimmy keshaharibu tena


yani Arushaone akufiche wewe tena wa ubavu! Ulionea wapi

mke mwenza mi na surprise wapi na wapi, mambo ya WOW!!!!!! Mi siyawezi nitabaki nikishangaa tu HAAAAAAAAHH!!!!!! then puuuuh chin, chezea presha weye!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mmeniamasisha ngoja mwisho wa mwezi ninunue kagari
 
mke mwenza mi na surprise wapi na wapi, mambo ya WOW!!!!!! Mi siyawezi nitabaki nikishangaa tu HAAAAAAAAHH!!!!!! then puuuuh chin, chezea presha weye!!!!
Hahahaha...tusije tukakusahau ghafla

Rudi nyuma shetani
 
Shemeji PakaJimmy asante kwa taarifa nilikuwa sijui kama hubby wangu ana kitega uchumi kama hicho, na sijui kwanini alinificha......... Arushaone nahitaji maelezo ya kina kuhusu huu mradi wako.

Halafu huyo Chocs ni mke mwenzangu (mke wa Erickb52) na Heaven on Earth ni wifi angu (mke wa kaka angu figganigga) hakya mama kesho nawafukuza kazi wote haiwezekani kwa nini wasinitonye kuwa mume wangu amewaajili.

wii kwani lazima tuwe tunakwambia kila kitu wajameni.......

we navyokwambiaga naenda job unadhania ni wapi ndo hapo
 
Usijali wife, huu ndio ule mradi nilokwambia anakuja kuuzindua rais wa Urusi Vladimir Putin mwishoni mwa mwezi huu ila leo ilikuwa majaribio tu, hence Paparazzi PakaJimmy kaja kuutangaza nami nikipania nikufanyie suprise.

Kuhusu Chocs na Heaven on Earth hao ndio walikuwa wamekuja na nilikuwa nawapa logistics kuhusu suprise yenyewe!
PakaJimmy kaharibu suprise......sijui nani kamwambia aje kusema huku
 
Last edited by a moderator:
Shemeji PakaJimmy asante kwa taarifa nilikuwa sijui kama hubby wangu ana kitega uchumi kama hicho, na sijui kwanini alinificha......... Arushaone nahitaji maelezo ya kina kuhusu huu mradi wako.

Halafu huyo Chocs ni mke mwenzangu (mke wa Erickb52) na Heaven on Earth ni wifi angu (mke wa kaka angu figganigga) hakya mama kesho nawafukuza kazi wote haiwezekani kwa nini wasinitonye kuwa mume wangu amewaajili.

Mmmh mbona kambuni nyingi amesajiri kwa jina lako!
 
Back
Top Bottom