ArushaOne, Hongera Kwa Mradi Wa Car-Wash!

ArushaOne, Hongera Kwa Mradi Wa Car-Wash!

Shemeji PakaJimmy asante kwa taarifa nilikuwa sijui kama hubby wangu ana kitega uchumi kama hicho, na sijui kwanini alinificha......... Arushaone nahitaji maelezo ya kina kuhusu huu mradi wako.

Halafu huyo Chocs ni mke mwenzangu (mke wa Erickb52) na Heaven on Earth ni wifi angu (mke wa kaka angu figganigga) hakya mama kesho nawafukuza kazi wote haiwezekani kwa nini wasinitonye kuwa mume wangu amewaajili.

pacha bora uwatimue
uniajiri mm,tukamilishe mpango
wa kuwekeza kwny gesi!!
 
Back
Top Bottom