ArushaOne, Hongera Kwa Mradi Wa Car-Wash!

Usijali wife, huu ndio ule mradi nilokwambia anakuja kuuzindua rais wa Urusi Vladimir Putin mwishoni mwa mwezi huu ila leo ilikuwa majaribio tu, hence Paparazzi PakaJimmy kaja kuutangaza nami nikipania nikufanyie suprise.

Kuhusu Chocs na Heaven on Earth hao ndio walikuwa wamekuja na nilikuwa nawapa logistics kuhusu suprise yenyewe!

oooppfff, kama ndio hivyo basi kila kitu itabidi uandikishe jina langu
 
Last edited by a moderator:
that's why i love you honey, mmmwwwwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!

cute-black-couple-e1342542975720.jpg

Mwaaah!! I love you too darling!
​
 
Shemeji PakaJimmy asante kwa taarifa nilikuwa sijui kama hubby wangu ana kitega uchumi kama hicho, na sijui kwanini alinificha......... Arushaone nahitaji maelezo ya kina kuhusu huu mradi wako.

Halafu huyo Chocs ni mke mwenzangu (mke wa Erickb52) na Heaven on Earth ni wifi angu (mke wa kaka angu figganigga) hakya mama kesho nawafukuza kazi wote haiwezekani kwa nini wasinitonye kuwa mume wangu amewaajili.
Sheeeeeeeeeeeeeeeeeem
 
Shem hongera sana
PakaJimmy we nawee..!! mwenzio alikua anataka kumsupraizzz wife wake Lady doctor,we umefukurunyua mambo!!
Usijali wife, huu ndio ule mradi nilokwambia anakuja kuuzindua rais wa Urusi Vladimir Putin mwishoni mwa mwezi huu ila leo ilikuwa majaribio tu, hence Paparazzi PakaJimmy kaja kuutangaza nami nikipania nikufanyie suprise.

Kuhusu Chocs na Heaven on Earth hao ndio walikuwa wamekuja na nilikuwa nawapa logistics kuhusu suprise yenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Mke mwena punguza jazba

Ulikuwa ufanyiwe sapraiziii sasa PakaJimmy keshaharibu tena

yani Arushaone akufiche wewe tena wa ubavu! Ulionea wapi

Back
Top Bottom