Jamaa ni fighter...shida yake ni pale anapomficha shemegi miradi mingi!
Maskini Lady doctor! Ukimwambia ni mbishi sana! Najua kuna siku atanielewa tu![/QUOTE]
mmmmmmmh_unataka akuelewe ili iweje mkuu...?.....ngoja arusha one asikie...!
Jamaa ni fighter...shida yake ni pale anapomficha shemegi miradi mingi!
nani aogopi...? uoga umeshatuingia .si wajua mambonya ufoo ...!
Kwahiyo Arushaone, anaogopa kumwambia Lady doctor kisa anaogopa yasijemkuta?
Sana sana ni hawa watoza ushuru waitwao TRA mkuu, wanakusanya wasichotawanya afu ki-ubabe babe...Siwapendiiii!
Lady doctor umeojionea mwenyewe?
[h=3]Mkuu PakaJimmy tukianza kuanikana miradi TRA si watanifilisi mkuu?
[/h]
Hiyo hapo chini nimewaficha siku zote na nakuomba usije ukawaambia kwani itabidi uwalipe wewe.
[h=3]
[/h][h=3]ARUSHA ONE[/h][h=3]
ARUSHA ONE FM[/h]
[h=3]Arushaone Security Company Ltd[/h]
Nimemaliza!
Shemeji PakaJimmy asante kwa taarifa nilikuwa sijui kama hubby wangu ana kitega uchumi kama hicho, na sijui kwanini alinificha......... Arushaone nahitaji maelezo ya kina kuhusu huu mradi wako.
Halafu huyo Chocs ni mke mwenzangu (mke wa Erickb52) na Heaven on Earth ni wifi angu (mke wa kaka angu figganigga) hakya mama kesho nawafukuza kazi wote haiwezekani kwa nini wasinitonye kuwa mume wangu amewaajili.
Kwahiyo Arushaone, anaogopa kumwambia Lady doctor kisa anaogopa yasijemkuta?