Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Usijali wife, huu ndio ule mradi nilokwambia anakuja kuuzindua rais wa Urusi Vladimir Putin mwishoni mwa mwezi huu ila leo ilikuwa majaribio tu, hence Paparazzi PakaJimmy kaja kuutangaza nami nikipania nikufanyie suprise.
Kuhusu Chocs na Heaven on Earth hao ndio walikuwa wamekuja na nilikuwa nawapa logistics kuhusu suprise yenyewe!
oooppfff, kama ndio hivyo basi kila kitu itabidi uandikishe jina langu
There are currently 5 users browsing this thread. (2 members and 3 guests)
Usiwasikilize sana utaharibu u-house wetu mpenzi.
Granted!! Ngoja nimuite Lawyer Dr. Ruttashobolwa, PhD. aje aweke mambo sawa! OK baby?
sawa mpenzi, halafu leo uwahi basi, nimemiss joto lako honey
that's why i love you honey, mmmwwwwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
I am on the way....just traffic jam obstacles along the road.
Mwaaah!! I love you too darling!
Maskini Lady doctor! Ukimwambia ni mbishi sana! Najua kuna siku atanielewa tu!
Ni nzuri, swali langu kwanini viumbe wa Mungu wanagombana?
Lakini Arushaone ana imani sana na wewe, halafu kuna miradi kaisajili kwa jina lako
SheeeeeeeeeeeeeeeeeemShemeji PakaJimmy asante kwa taarifa nilikuwa sijui kama hubby wangu ana kitega uchumi kama hicho, na sijui kwanini alinificha......... Arushaone nahitaji maelezo ya kina kuhusu huu mradi wako.
Halafu huyo Chocs ni mke mwenzangu (mke wa Erickb52) na Heaven on Earth ni wifi angu (mke wa kaka angu figganigga) hakya mama kesho nawafukuza kazi wote haiwezekani kwa nini wasinitonye kuwa mume wangu amewaajili.
Sheeeeeeeeeeeeeeeeeem
Usijali wife, huu ndio ule mradi nilokwambia anakuja kuuzindua rais wa Urusi Vladimir Putin mwishoni mwa mwezi huu ila leo ilikuwa majaribio tu, hence Paparazzi PakaJimmy kaja kuutangaza nami nikipania nikufanyie suprise.
Kuhusu Chocs na Heaven on Earth hao ndio walikuwa wamekuja na nilikuwa nawapa logistics kuhusu suprise yenyewe!
Shemeji PakaJimmy asante kwa taarifa nilikuwa sijui kama hubby wangu ana kitega uchumi kama hicho, na sijui kwanini alinificha......... Arushaone nahitaji maelezo ya kina kuhusu huu mradi wako.
Halafu huyo Chocs ni mke mwenzangu (mke wa Erickb52) na Heaven on Earth ni wifi angu (mke wa kaka angu figganigga) hakya mama kesho nawafukuza kazi wote haiwezekani kwa nini wasinitonye kuwa mume wangu amewaajili.
Hahahahahaaaasiyo lazima kila kitu shemeji akijue bana...