Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Hahahaha...tusije tukakusahau ghafla
Rudi nyuma shetani
wii kwani lazima tuwe tunakwambia kila kitu wajameni.......
we navyokwambiaga naenda job unadhania ni wapi ndo hapo
Mmmh mbona kambuni nyingi amesajiri kwa jina lako!
Ameni..na akakamae kabsaaaarudi kabisaa akagongwe na treni afe
Hapana chhezea kabisaaumeonaeee? yaani hapa nimeng'ang'ania haswa, chezea true love wewe!!!!!!!!!
Shemeji PakaJimmy asante kwa taarifa nilikuwa sijui kama hubby wangu ana kitega uchumi kama hicho, na sijui kwanini alinificha......... Arushaone nahitaji maelezo ya kina kuhusu huu mradi wako.
Halafu huyo Chocs ni mke mwenzangu (mke wa Erickb52) na Heaven on Earth ni wifi angu (mke wa kaka angu figganigga) hakya mama kesho nawafukuza kazi wote haiwezekani kwa nini wasinitonye kuwa mume wangu amewaajili.