ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Pole Sana na hongera pia, ishi kwa matumaini Sasa wala usichoshe akili yako utazizoea tu mkuu.
 
We acha tu. Nitamlaumu shetani bure kumbe mie ndo chanzo...

Afu ubaya sasa wapuuzi wote watatu simu zao hazipatikani..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Uta nishauri nn mimi nnae waza kunywa vidonge viwili ili ni nenepe kama nyinyi
Hakikisha unakula vizuri, ondoa mawazo( ni kinga tuu imeshuka) sali mungu akupe nguvu na amani. Ja pia hauko pekeyako, wako wengiiii hawasemi tuu.
 
Mi ndugu yangu anaishi moro ila anachukulia mnazi mmoja...manesi anawapa mshiko wa maana maana mi ratiba zangu zilibana kuwa namtumia kwenye basi, so wao now ndo wanafanya hii shughuli

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ongeza umakini kwenye shuguli zako 3 times its many kuwa exposed utakuja kujilaum kuwa. Makini
 
[emoji38][emoji38] mi kwa nilikopita nilijiapiza siji kupima, nikaja kupata demu fulani hivi nikasema ngoja nitulie nae, akasema kabla ya mahusiano tupime kwanza, siji kusahau ile siku, wallah unakimbia majibu aisee.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…