ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Na experience ya kutosha kuhusu ugonjwa wa cancer.
 
Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu
Usiogope wala usijal. Nina ndugu yangu anatumia toka mwaka 2000, anadunda tu. Bora ngoma kuliko kisukari au kansa. Take easy
 
Pole sana, subiri 2030 mkuu. UKIMWI utasepa kama ulivyokuja.
 
Msala mwingine kwenye kuchukua hizo ARV Ni mwendo wa counselling ya vikundi na foleni balaa. Mtu mzima unachoreka mpaka ujute. KMamae!
Daaah nimeshuhudia hii makitu nin a ndugu zangu wa damu kabisa wanapitia hii hali ,yaan wanachoreka balaa.

Hapa kitaa siku ya kuchukua doz inajulikana kabisa kwa wiki mara mbili ,ukipita hayo maeneo haki hata kama ulikuwa na promise hiyo siku utapiga chini jumla.

Wanapewa had lishe ya unga wa ulezi ,sema nashukuru mungu wamekubaliana na hali maana hakuna namna.

Bahat mbaya wote wameupata kwenye ndoa zao ,kabla ya ndoa zao hawakuwa na mambo mengi ila walipo ingia kwenye ndoa ndio wakakutana na hii janga .

Ni mama zangu wadogo wapo wawil wote wameumia [emoji24][emoji24][emoji24] kibaya Zaid waume zao wote walishakata ,hivyo wameachiwa ngoma na ujane juu.

Wadau tuombe mungu tu ngoma unaweza kuipata hata kama sio mwingi wa mambo hii ni kama ajal tu.
Ila kuchoreka hakukwepek maana lazima tu utajulikana pengine ugome kunywa hizo arv ,

Kuna wengine wanawatumia manens ili wawaletee majumban mwao hizo dawa kwa malipo fulani , utafanya ivo lakin Kuna muda utajulikana tu maana Kuna siku itakulazim ufike physically hospital .

Kuna wengine wanachukulia hizo dawa mbali na mji anaoishi mfano mtu anaishi kawe dawa anachukulia mbagala huko lakin dunia Haina Siri utajulikana tu dawa ni kujikubali tu .
 
Wewe jamaa ndezi sana ujue
 
Ipo siku utabumbuluka tu
 
Wanawake ni watu wa kufikiri sana future za watoto hivyo wengi wakishaingia kwenye ndoa wanatulia but ni vice-versa kwa wanaume wanapiga sana puli kabla ya ndoa na kabla ya kupata noti but wazipatapo wanaanza kutembeza moto na kuleta ukimwi nyumbani, pumbavu zenu wanaume wote malaya
 
Umeona ututukane kabisa Au sio[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…