ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Cc joshua_ok
 
Daaa JF unaweza uonekane wewe una roho ya kifashisti kuchekelea matatizo ya wenzako, kumbe unacheka jinsi tatizo lilivyoelezewa...

Kuna shughuli nyingne inaitwa PEP 72HRS, ile unaweza ukainywa, baada ya masaa kadhaa unatafuta dawa uitapike,
 
Daaah! Kwenye lishe hapo namkumbuka uncle . Alikuwa na shehena kabisa ya unga wa ulezi,alipofariki wacha tuushambulie na blue band zake[emoji38]
 
🤣🤣🤣 Hata mm group o+
Una tatizo la Pumu? Ili usiupate UKIMWI ( Dally Kimoko ) unatakiwa uwe na Mambo mawili kwa wakati Mmoja yaani uwe na Pumu ile ya Kurithi na Damu ya Group O+ ila kama una Kimojawapo tu tafadhali Acha Umalaya ( Uhuni ) na ukienda ' Kutiana ' tumia Condoms usije ' Kuukwaa ' huo Ugonjwa, Ukafa na JamiiForums hadi Tanzania ikakukosa.

Msiniige Kizembe mtakufa shauri zenu.
 
Mimi sijiuzi na Nina check afya yangu Mara nyingi, na mhurumia mkeo
"Kujiuza" its just a term, issue ni matendo yako. Mahusiano yapoje na hao ulionao kwenye Mahusiano yako au huyo ulienae kwenye Mahusiano yako Mahusiano yake yapoje? Ukimwi ni mgumu sana kupata na ni rahisi sana kuupata vilevile. Kikubwa ni kumuomba Allah tu.
 
Miaka kadhaa huko nyuma nikiwa fm2 tulikuwa na wapangaji home, kati yao familia moja ilikuwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Nyumba ambayo walikuwa wanakaa wapangaji nilikuwa nikifungua dirisha la chumba ninachokaa naona kila kitu wanachokifanya. Asee hiyo siku mida kama ya saa 10 jioni nasikia mtu anakohoa huko njee kama dkk 5 mfululizo.

Ikabidi taraatibu niijisogeze kuchungulia nione nini kinaendelea, nilichokiona sikuamini yule baba alikuwa anatapika mfululizo matapishi yale yangeweza jaa ndoo ndogo ya lita 10, meusi kama ujii.

Acha aanze kuharisha, kinyesi kinachuruzika mpaka miguuni maana alikuwa amevaa bukta ,yule mama anamoyo amekazana tu kumfuta, anakimbia njee anaenda kuchota mchanga anafunika yale matapishi kisha anafagia.

Yule jamaa hakuchukua hata muda akafariki. Toka siku hiyo nilipata somo asee, nilijifunza kutunza afya,bora magonjwa mengine ukimwi udhalilisha na kufedhehesha, nilisema siwezi uza mechi,pamoja na ruka ruka zangu sijawahi gonga demu kavu hata nimkute bikra.
 
Kweli mkuu uliyoongea tunaishi na hawa ndugu zetu hata Mimi kwenye familia yangu ndugu kibao wanapitia hali hii na wamejikubali na life linasonga na ndio maana kule juu coment yangu nimesema watu humu wanajidai Kama wapo swafi kabisa kumbe Kuna tatizo pahali

Tupunguze unafiki wajameni UKIMWI unaweza ukaupata kwa mtu unayemwamini Sana Sana mke,mume,mchumba,kahaba,
Malaya,kula kimasihara,kuchangiwa damu,kuzaliwa nao na mengine mengi
Yaani utaweza ukawa faithfully Ila siku utakayosema nijaribu tu

Kimeumanaaaaaaaaa !
 
Nimewahi kutumia PEP siku 30 na zenyewe zina maluweluwe kama hizo ARV sina hamu, yaani mtihani. Nilibanduaga kavu kavu malaya aliyekubuhu bila kujua. Sema nilimfaidi sana maana alikuwa fundi kweli kweli.
Nigee mawasiliano yake mkuu wangu, nina shida nae za kiutafiti
 
Ila kiongozi nasikia zinaleta hamu ni balaa.. wote wake kwa waume !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…