ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

NIMEUZA mechi kwa Watu 3 tofauti nasubiri nimpime mmoja wao, hao wengine siwezi kuambukizwa ila huyu fala mmoja kama atakuwa nao ninao
Kimeumana. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
NIMEUZA mechi kwa Watu 3 tofauti nasubiri nimpime mmoja wao, hao wengine siwezi kuambukizwa ila huyu fala mmoja kama atakuwa nao ninao
Unaweza kukuta hao unaowaamini ndio wakakusogezea hili tatizo huyo uliye na mashaka naye akawa poa kabisa.
 
NIMEUZA mechi kwa Watu 3 tofauti nasubiri nimpime mmoja wao, hao wengine siwezi kuambukizwa ila huyu fala mmoja kama atakuwa nao ninao

Kwanin uuze mechi kama nakuona unavyoogopa kupima
 
Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu.
UPDATE
Kama umeoa Bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.
Sahivi wanachomwa sindano kwa mwezi Mara moja
 
We acha tu. Nitamlaumu shetani bure kumbe mie ndo chanzo...

Afu ubaya sasa wapuuzi wote watatu simu zao hazipatikani..
😂😂😂 bado unawatakia nini unataka bado ukauze mechi?
 
Back
Top Bottom