Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Hicho ndicho wananchi wanakitaka hadi awaambie ni mjinga gani alimdanganya akimfungulia kesi ya uhaini ndiyo itakuwa mwisho wa Lissu kuwasulubu!Unafikiri ataulizwa vimaswali vya kubembelezwa na kutukuzwa hivyo?
Atabamizwa hadi aite maji mmaah !!
Ogopa sana teknolojia...🤣🤣Lini?
aaaah watamfanyia kama Sadam Hussein sio ujanjaAnakula kitanzi ishaisha hii
Ndiyo utaona sasa, tulia tulii.We uliwahi kuona wapi shahidi wako unamuuliza maswali magumu?
Alifanya kosa gani? karma will talkTundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni ukomavu wa kisiasa. Comrades Stroke gallow bird Lucas Mwashambwa
We uliwahi kuona wapi shahidi wako unamuuliza maswali magumu?
Sasa lissu mnamtishia nini kipyq tena wakati mlishampiga risasi kumi na sita kwahiyo hapo segerea ni kama yupo beachTundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni ukomavu wa kisiasa. Comrades Stroke gallow bird Lucas Mwashambwa
Unaweza kuthibitisha Uhaini wa Lissu?Tundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni ukomavu wa kisiasa. Comrades Stroke gallow bird Lucas Mwashambwa
Baada ya mahakama kumwambia ana kesi ya kujibu Kalia sana leo mahakamani mi naona ndege mjanja anajuta sasa. Mahakama pekee ndiyo iliyokasimishwa hayo mamlaka ya kumuona mhaini au la? Na mpaka sasa ana kesi ya kujibuUnaweza kuthibitisha Uhaini wa Lissu?
Unafananisha Rais Mstaafu na Aliyeoko madarakani hivi huko mnafikiria kwa kutumia makalio?
Lengo la kuweka Jambo hili hapa JF ni kukumbusha kwamba hakuna mkubwa kuliko Mahakama na kwamba ukiitwa kutoa ushahidi ni lazima ufike.
- Erythrocyte
- Replies: 136
- Forum: Jukwaa la Siasa
Unaongea kama mtu alikatwa kichwa.. stupidOr he will stay Behind bars forever
Nadhani humjui Lissu, Muulizeni KikweteBaada ya mahakama kumwambia ana kesi ya kujibu Kalia sana leo mahakamani mi naona ndege mjanja anajuta sasa. Mahakama pekee ndiyo iliyokasimishwa hayo mamlaka ya kumuona mhaini au la? Na mpaka sasa ana kesi ya kujibu
Msaada hua yanaomba mapigwa miti na makata viuno ya lumumba. Chadema hakuna wapigwa miti so msaada mtauomba nyinyi.Tundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni ukomavu wa kisiasa. Comrades Stroke gallow bird Lucas Mwashambwa
Unafananisha Rais Mstaafu na Aliyeoko madarakani hivi huko mnafikiria kwa kutumia makalio?