As Tanzanian Government is waiting for Arabs to build Stadium for them, County Government of Mombasa is building this huge stadium using its own money

Kwanini mnapoteza mda wenu kubishana na Kenya hao? Wanaongelea viwanja wakati takwimu zinaonyesha njaa karibu iwamalize.
 
Hamna viwanja Tanzania.

Hahhaah halafu sikujua kama wewe ni fala hivyo.. au na hilo jengo la vioo nyuma ya uwanja nalo unatakla kusema ni sehemu ya nyayo stadium? Hii ndio Nyayo.


Halafu huo upupu wa picha ya uwanja na jengo la glass angalia wakunyawenzio wanavyopiga kelele kwa huu utopolo. Umechukua hapa.

 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sorry Teargass I can see u r going mad, Tz is a middle income country, no country with two status ever exist in the world.
Tanzania is among the poorest countries in the world. Kaa ukijua hiyo.
 
Asante kwa kutuonyesha Nyayo stadium ya 1980 hata before ikuwe na viti. That glass part is Nyayo stadium, najua hujazoea glassy things.
IN PICTURES: The new look Nyayo National Stadium, 95pc complete - Capital Sports
 
Tanzania is among the poorest countries in the world. Kaa ukijua hiyo.
Umeishiwa hoja ww unabaki kuruka ruka tu, hakuna nchi ikawa middle Income zen at the same time ikawa poor Country except Kenya ambayo ni middle finger country and at the same time a failed state.
 
Hahaha!!ukimuona mtanzania analongo sana bila hata kutuonyesha picha, basi ujue anatapata hku akitafuta pa kutokea[emoji23][emoji23]
 
Nyuzi zake zote hzo ulizikimbia hku zngine ukaanza kujitoa ufahamu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Better than all your stadiums.

Loosers as usual. Hakuna stadium ya ku match viwanja vyetu hapa Bongo. Hiyo nyayo tu imechapwa na Mwinyi stadium ya huko Tabora. Sasa mtaweza compee na kiwanja gani hapa Bongo? Nyinyi mko chini sana katika football game and its infrastructure in general. Hamna ubavu wa kujipima na Tanzania.
 

Ushamaliza kupayuka? Now let me show you some facts.

1. Infrastructure
Infrastructure in Africa: The growth essential
2. Roads. Kenya 21,000km of paved roads while Tz only has 10,000km. This is a list of countries with the best quality roads.
Top 10 African countries with quality roads – South African Road Federation – SARF

3. Education
Top 10 African Countries With The Best Educational System (2020)

4. Health
Top 10 Countries with Improved Healthcare System in Africa 2020 | The African Exponent.

5. Best hospitals in Africa.
https://hospitals.webometrics.info/en/Ranking_africa

6. Economy
Africa’s Top 10 wealthiest countries ranked by GDP | IT News Africa - Up to date technology news, IT news, Digital news, Telecom news, Mobile news, Gadgets news, Analysis and Reports
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…