Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

Kwani angewaacha waende zao huko South Africa angepungukiwa nini?
sheria zinawabana.

ila kuna mmoja raia wa Ethiopia anasema wanandugu zao Europe&U.S,ndugu zao kuwafanyia mpango wa kwenda huko ulaya kwa kutokea south Africa ni rahisi sana kuliko kuwafanyia mpango wakiwa Ethiopia au Erytria ni ngumu zaidi ya ngumu.
 
sheria zinawabana.

ila kuna mmoja raia wa Ethiopia anasema wanandugu zao Europe&U.S,ndugu zao kuwafanyia mpango wa kwenda huko ulaya kwa kutokea south Africa ni rahisi sana kuliko kuwafanyia mpango wakiwa Ethiopia au Erytria ni ngumu zaidi ya ngumu.
Sheria gani nchi hii, roho mbaya tu. Wao wanaenda kwingine shida tunapata sisi?
 
Pesa hzo huwa wanazitoa wapi maana Ni pesa ndefu Sana wanatumiaaa kufika S A
 
Mnasemaga ukiwa CCM kila kitu ni bwerere sasa imekuwaje huko na bendera juu?.
Hata Meli za Iran walitumia flag yetu
Si lazima huyo jambazi awe mwana ccm

Kaangalia atapitaje barriers na akagundua ukiwa na Bendera ya ccm husimamishwi
 
Mchawi wa taifa letu ni CCM wala hakunaga mwingine.
 
Gari halijapakwa rangi ya kijani, yeye hajavaa magwanda ya kijani, wahamiaji hawajavaa nguo za kijani, ana akili fupi.
Hata hivyo aliyempa hiyo gari iliyonunuliwa kwa pesa za DPW ndiye atakayelimaliza jambo letu.
 
Wauza Unga wengi wameacha hiyo biashara maana kifungo ni kirefu sana
Ila kuvusha wakimbizi ni
a slap on the wrist
Na inalipa kweli
Kuna wanaolipa safari moja mpaka $30,000
Duh! Hapo ni ku-cross Tz tu! Je, Kenya? Zambia? Zimbabwe? Botswan? Hadi kuingia SA how much do they pay? Kama wana ukwasi hivyo why wawe wahamiaji haramu? Kwanini wasifuate taratibu badala ya kuji-risk hivyo? Sielewi!
 
Nimesoma nikacheka, kinachonichekesha ni kwa namna mwandishi wa Ayo alivyowakwepesha CCM kwenye hii taarifa. Mara nyingi sana tumesema hii hulka ya CCM kuficha na kushabikia haya mambo na wamekua wakikataa. Waliwahi kumkataa hata yule shujaa aliyeuwawa na Polisi kuwa hakua Mjumbe wa CCM, yule waliyempachika jina la gaidi.

leo hii kakamatwa Mwana CCM akiwa tena na gari ya 2023 akiwa amebeba vipusa (wahamiaji haramu) kama kawaida, taarifa imekua twisted. CCM hebu jirekebisheni.

watu kama hawa ndio kutwa kuchwa wanasifia "Mama anaupiga mwingi" ili kuficha maovu yao...... hili lingetokea kwa CHADEMA lingeripotiwaje?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…