Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

Hawa ndiyo hawana akili mkuu, utakaaje pembeni badala ya kuipigania nchi yako na vizazi vyako?
Mm sio exceptional kwa nchi hii, kama unatetea maslahi ya taifa kwa manufaaa ya wengi lakn hao wengi ndo wanatumika na wasiasa kukushambulia ya nn nijitese mwisho wa siku kama haiathiri mazingira yangu ya utafutaji unaachana nayo
 
Haya ni matokeo ya ikulu kuwa na muhuni inasababisha nidhamu kushuka kitaifa Samia hafai kuongoza hata inzi
 
Mm sio exceptional kwa nchi hii, kama unatetea maslahi ya taifa kwa manufaaa ya wengi lakn hao wengi ndo wanatumika na wasiasa kukushambulia ya nn nijitese mwisho wa siku kama haiathiri mazingira yangu ya utafutaji unaachana nayo
Itakuja kuathiri wanao au wajuu, muhimu ni kupambana na huo mfumo ovu
 
1980s gari za Chama zilitumiwa sana na akina Aligeje kubeba meno ya Tembo pale Iringa 🐼😂😂
 
unaelewa masuala ya wahalifu kuvaa sura mbalimbali ni kawaaida🐒

wengine huvaa madera, wengine huvaa mawigi, wengine huvaa kanzu za viongozi wa dini, wengine huvaa rozali na tasubihi kubwa sana, wengine huvaa suti kali sana na tai hii yote mavazi na sura hizi za wema wahalifu huzitumia kutekeleza na kutimiza uhalifu wao 🐒

ukiwa unakubalika na kuaminika zaidi, na wewe ndio turufu ya uhakika wa kufanikisha jambo fulani jema , basi waovu pia hutumia turufu hiyo na hujivika sura yako ili kutimiza malengo yako ya kihalifu 🐒

so,
Nyakati hizi za kipindi cha mfungo wa kwaresma na ramadhani waovu wengi wamejificha juu ya wema wako na wangu, ni vizuri kua chonjo, kuwa rada na makini zaidi kuwagundua mapema 🐒

hao ni wahalifu na waovu waliojivika sura ya wema na fadhila ya CCM ili kufanikisha ubaya wao.

Hilo haliwezi kuiyumbisha CCM,
wahalifu hao watawajibika kwa mauvu yao kwa mujibu wa sheria na CCM inasonga mbele 🐒
 
Mshangao,
-V8 kutumika, gari la mkubwa,tatizo dereva
-V8 yapakia watu 20!
-Bendera ya CCM, maswali mengi, gari la nani?
-Gari lakamatwa Manyara, wamepanda wapi na wangeshuka wapi

Mbombo ngafu!
 
Kuna siku niliweka uzi watu wengi wanaofanya biashara haramu wako ccm ili kukamilisha biashara zao haramu
 
hao ni wahalifu na waovu waliojivika sura ya wema na fadhila ya CCM ili kufanikisha ubaya wao.

Hilo haliwezi kuiyumbisha CCM,
wahalifu hao watawajibika kwa mauvu yao kwa mujibu wa sheria na CCM inasonga mbele 🐒
imagine ingekua ni gari ya CHADEMA, ungeweza kuandika hivi hivi? Ungesikia kesho msajili wa Vyama ametoa barua kwa CHADEMA kujieleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…