Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Sasa watoto wanahusika nini na mambo ya mzee wao? Hebu tueleweshe yaani ujinga afanye dingilai halafu aje kulipa dogo?
Sometime we suffer because of our fathers mistake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa watoto wanahusika nini na mambo ya mzee wao? Hebu tueleweshe yaani ujinga afanye dingilai halafu aje kulipa dogo?
Kumbe newton's third law inaapply na kwenye hz ishu.. noma sana..Hiyo pesa utakuja kuilipa ,either wewe mwenyewe ,au watoto wako ....
Every action there is equal and opposite to the reaction ...
Kwan mzee baba ishu ya adam na hawa ikoje? Ujinga s walifanya wao, leo hii na sisi si tunakipata cha mtema kuni!Sasa watoto wanahusika nini na mambo ya mzee wao? Hebu tueleweshe yaani ujinga afanye dingilai halafu aje kulipa dogo?
Hapana hiyo iliyotumiwa hela imesajiliwa kwa kitambulisho cha mtu mwingine na hata sijui yuko wapi kwa sasaKama laini yako ya tigo na ya voda umesajilia kitambulisho kimoja na hiyo ya airtel usishangae wakikupigia hodi muda wowote.
By the way hii ni chai la sivyo usingekuwa na ujasiri wa kuileta hii mada jf, kwa zama hii za technolojia ya mawasiliano ila kama ni kweli basi ushajikamatisha
Kipindi nipo chuoo niliwahi kutumiwa pesa kimakosa laki 8 nikajifanya mjanja nikaitoa nikakusanya marafiki nikaenda nao kunywa pombe ile laini niliswitch off kwa wiki 3.ikapita miezi 8 kimya..baadae bibi alipata shida ya figo ilitakiwa afanyiwe dialysis kila mwezi so michango ya kifamilia ikatembea, bila kujua ili wala lile shangazi akanitumia mchango pesa ya matibabu laki 9.5 niitoe ili nimpatie mzee kumbe alituma katika ile line niliyotumiwa pesa kwa bahati mbaya..tigo hawajuchelewesha sms ikaingia hapo hapo
Ndugu mteja umekatwa sh laki 8 salio lako jipya ni laki na nusu niliishiwa pozi aisee.
Ili kuuawa soo nikaingia hasara nikatoa pesa yangu ya mkopo nikampatia mzee uku moyoni nina maumivu.
Juzi kati kuna mtu alikosea tena akanitumia pesa kimakosa mwenyew..yaanini mie
Hapo sawaHapana hiyo iliyotumiwa hela imesajiliwa kwa kitambulisho cha mtu mwingine na hata sijui yuko wapi kwa sasa
Hapa pagumu aroooBank simu huwezi iba hela utailipa tu, fanya kama umekipeshwa usiitumie vibaya izalishe na ukipata hela yako mtafute alokutumia mrudishie
Haki ya mtu haipotei Kwa sababu mlipaji halali itafika kipindi utakua unajiuliza au labda Kwa sababu nilichukua pesa si yanguNikiwa nimepitia misukosuko mingi tangu Januari ya mwaka 2022 Nitaikumbuka zaidi siku ya Alhamis tar 29 majira ya saa saba za mchana, nikiwa nimekaa kijiweni na jamaa zangu huku nikiwa sina ramani ya kazi na sikuwa hata na uhakika wa mlo wa mchana kwa siku hiyo iliingia sms ya muamala kwenye simu yangu kuwa nimepokea kiasi cha ml 4.5 kutoka kwa wakala ..... hakika sikuamini nilichokiona, kwa haraka hiyo pesa nikaihamishia kwenye lain yangu ya tigo pesa ml 2 na laini ya voda nikahamishia ml 2, mbio hadi kwa wakala nikaitoa pesa kwenye lain zote na ile iliyokuwa imebaki kwenye namba niliyotumiwa ya airtel nayo nikaitoa na laini iliyopokea muamala sijaiweka hewani hadi sasa na kabla sijaitoa hewani sikupigiwa na mtu kwamba ametuma hela kwangu kimakosa na wala mimi sikuwa na ahadi na mtu eti anitumie hela kwahiyo ninashukuru sana aliyenitumia hiyo hela kiukweli hata kama angenipigia na kuniambia eti kakosea muamala asingeambulia kitu Mungu amlinde sana nilikuwa nina Magumu sana asante Mungu, na nitakukumbuka 2022.
Nikuulize kitu. Hiyo laini yako si imesajiliwa kwa jina lako. Kama imesajiliwa wafwa.Nikiwa nimepitia misukosuko mingi tangu Januari ya mwaka 2022 Nitaikumbuka zaidi siku ya Alhamis tar 29 majira ya saa saba za mchana, nikiwa nimekaa kijiweni na jamaa zangu huku nikiwa sina ramani ya kazi na sikuwa hata na uhakika wa mlo wa mchana kwa siku hiyo iliingia sms ya muamala kwenye simu yangu kuwa nimepokea kiasi cha ml 4.5 kutoka kwa wakala ..... hakika sikuamini nilichokiona, kwa haraka hiyo pesa nikaihamishia kwenye lain yangu ya tigo pesa ml 2 na laini ya voda nikahamishia ml 2, mbio hadi kwa wakala nikaitoa pesa kwenye lain zote na ile iliyokuwa imebaki kwenye namba niliyotumiwa ya airtel nayo nikaitoa na laini iliyopokea muamala sijaiweka hewani hadi sasa na kabla sijaitoa hewani sikupigiwa na mtu kwamba ametuma hela kwangu kimakosa na wala mimi sikuwa na ahadi na mtu eti anitumie hela kwahiyo ninashukuru sana aliyenitumia hiyo hela kiukweli hata kama angenipigia na kuniambia eti kakosea muamala asingeambulia kitu Mungu amlinde sana nilikuwa nina Magumu sana asante Mungu, na nitakukumbuka 2022.
Hayo mafomula wakati mwengine huwa hayana maana yoyote, ninachoogopa ni kudhulumu nafsi, au mtu mnayefahamiana, the spirit or her work well on attacking others endapo kama kuna uovu.Newton's Third Law Of Motion
Magumu umeshayamaliza? Na pesa imeshaisha na magumu bado yapo. Uaminifu hufungua Baraka zaidi.Nikiwa nimepitia misukosuko mingi tangu Januari ya mwaka 2022 Nitaikumbuka zaidi siku ya Alhamis tar 29 majira ya saa saba za mchana, nikiwa nimekaa kijiweni na jamaa zangu huku nikiwa sina ramani ya kazi na sikuwa hata na uhakika wa mlo wa mchana kwa siku hiyo iliingia sms ya muamala kwenye simu yangu kuwa nimepokea kiasi cha ml 4.5 kutoka kwa wakala.
Hakika sikuamini nilichokiona, kwa haraka hiyo pesa nikaihamishia kwenye lain yangu ya tigo pesa ml 2 na laini ya voda nikahamishia ml 2, mbio hadi kwa wakala nikaitoa pesa kwenye lain zote na ile iliyokuwa imebaki kwenye namba niliyotumiwa ya airtel nayo nikaitoa.
Na laini iliyopokea muamala sijaiweka hewani hadi sasa na kabla sijaitoa hewani sikupigiwa na mtu kwamba ametuma hela kwangu kimakosa na wala mimi sikuwa na ahadi na mtu eti anitumie hela.
Kwahiyo ninashukuru sana aliyenitumia hiyo hela, kiukweli hata kama angenipigia na kuniambia eti kakosea muamala asingeambulia kitu. Mungu amlinde sana nilikuwa nina Magumu sana asante Mungu, na nitakukumbuka 2022.