Lizo mkristu
Member
- Oct 31, 2019
- 75
- 95
Sometimes ni lizki tuna hakuna mazara yoyote sema mnamtisha mwamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wasemaHiyo pesa sana sana ulinunua pamba na kunywea pombe na malaya,WAAFRIKA WANA LAANA YA MILELE
Sasa narudisha vipi na sijapigiwa hata simu na mtu kwamba kakoseaNILIWAHI RUSHIWA MIL 1.MIL
NKAITOA FASTA .AKANIPIGIA MDADA MMOJA.NIKAMWAMBIA USIHOFU ZIKO SALAMANTAKUPIGIA...
UKWELI SIKUWA NA MPANGO HUO.
JION NAENDA HOME TOKA KMR PKPK IKANIFWATA PYUUU .MBELE IKANIGONGA NA TAA KULE. HANA LESENI..WALA KADI YA PKPK
NIKAPAK SEHEMU NIKAMPIGIA DADA NJOO MWENGE...PUMA AKAJA NILIPOMPA.AKATOA 30 ANIPE NKAISHIA.KUONGEXA 100K KUREKEBISHA..YAAN USIPORUDISHA UTAZILIPA HHOSPTALN
NIKOOOOOOOO PALEEEE KWA MASAWEE UTANIJULISHA
Acha vitisho mkuu sasa ningeirudisha vipi wakati aliyekosea ni wakala na hadi sasa sijapigiwa simu kwamba mtu kakoseaHahahah yaani jamaa anajisifu lazima aje ailipe hio kitu
Usinitishe bhanaNiliwahi ingiziwa milioni , 4 NMB Kimakosa Wala sikujua imetoka wapi Ile pesa
Kwanza nilidhani ni utani nikaicheki Salio nikakuta IPO.
Nikawaza sana nikaoitee niitafune au vipi.
Nikaamua kuicha maana sio yangu na sijui alituma atakuwa katika wakati Ila nilijioa muda kwamba ikipita wiki nzima haijatolewa na wenyewe naitafuna itakuwa lost money.
Basi nikaamua kesho asubuhi kucheki Salio nikakuta haipo nikaishia kusonya tu[emoji1]
Anyway hio Hela mzee utailipa tu In one way or another direct or indirectly ila utaikunya tu just a matter of time
Muda utasema.
Sio kweli nami nilishapoteza sana kipindi cha nyuma huenda ndio malipo yangu sasaHahahah yaani jamaa anajisifu lazima aje ailipe hio kitu
MkuuNikiwa nimepitia misukosuko mingi tangu Januari ya mwaka 2022 Nitaikumbuka zaidi siku ya Alhamis tar 29 majira ya saa saba za mchana, nikiwa nimekaa kijiweni na jamaa zangu huku nikiwa sina ramani ya kazi na sikuwa hata na uhakika wa mlo wa mchana kwa siku hiyo iliingia sms ya muamala kwenye simu yangu kuwa nimepokea kiasi cha ml 4.5 kutoka kwa wakala.
Hakika sikuamini nilichokiona, kwa haraka hiyo pesa nikaihamishia kwenye lain yangu ya tigo pesa ml 2 na laini ya voda nikahamishia ml 2, mbio hadi kwa wakala nikaitoa pesa kwenye lain zote na ile iliyokuwa imebaki kwenye namba niliyotumiwa ya airtel nayo nikaitoa.
Na laini iliyopokea muamala sijaiweka hewani hadi sasa na kabla sijaitoa hewani sikupigiwa na mtu kwamba ametuma hela kwangu kimakosa na wala mimi sikuwa na ahadi na mtu eti anitumie hela.
Kwahiyo ninashukuru sana aliyenitumia hiyo hela, kiukweli hata kama angenipigia na kuniambia eti kakosea muamala asingeambulia kitu. Mungu amlinde sana nilikuwa nina Magumu sana asante Mungu, na nitakukumbuka 2022.
Huna tofauti na mwiziNikiwa nimepitia misukosuko mingi tangu Januari ya mwaka 2022 Nitaikumbuka zaidi siku ya Alhamis tar 29 majira ya saa saba za mchana, nikiwa nimekaa kijiweni na jamaa zangu huku nikiwa sina ramani ya kazi na sikuwa hata na uhakika wa mlo wa mchana kwa siku hiyo iliingia sms ya muamala kwenye simu yangu kuwa nimepokea kiasi cha ml 4.5 kutoka kwa wakala.
Hakika sikuamini nilichokiona, kwa haraka hiyo pesa nikaihamishia kwenye lain yangu ya tigo pesa ml 2 na laini ya voda nikahamishia ml 2, mbio hadi kwa wakala nikaitoa pesa kwenye lain zote na ile iliyokuwa imebaki kwenye namba niliyotumiwa ya airtel nayo nikaitoa.
Na laini iliyopokea muamala sijaiweka hewani hadi sasa na kabla sijaitoa hewani sikupigiwa na mtu kwamba ametuma hela kwangu kimakosa na wala mimi sikuwa na ahadi na mtu eti anitumie hela.
Kwahiyo ninashukuru sana aliyenitumia hiyo hela, kiukweli hata kama angenipigia na kuniambia eti kakosea muamala asingeambulia kitu. Mungu amlinde sana nilikuwa nina Magumu sana asante Mungu, na nitakukumbuka 2022.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa taarifa yako shamba na nyumba ya familia vimeuzwa na ndugu zako kwa Million 200 Tsh.
Huo uliopokea ni mgao wako na usithubutu kurudi tena nyumbani pameuzwa.
Njoo pmNigawie
Kwahiyo nifanyejeBrother unakula haki ya mtu hiyo ni sawa na wizi au dhulma usijisifu wala kufurahishwa na hilo.
Ungekuwa wewe ungefanyaje hebu niambieHuna tofauti na mwizi
Kisheria hukutakiwa kuhamisha hera kwa halaka wala kuzifunga namba zako zisitumike tena,ila ilibidi usubirie kama huyo muhusika atakutafuta au la,atlest miezi mitatu ndiyo uzitumie.Ungekuwa wewe ungefanyaje hebu niambie
Endelea shukuru ila line ulizohamishia zimesajiliwa kwa alama ya vidole zote zinaweza Soma majina yako ulivoenda kutoa nayo imeonesha kifupi umejihamishia pesa isio yako wakiamua fatilia watakukamua mavi Kama haunaNikiwa nimepitia misukosuko mingi tangu Januari ya mwaka 2022 Nitaikumbuka zaidi siku ya Alhamis tar 29 majira ya saa saba za mchana, nikiwa nimekaa kijiweni na jamaa zangu huku nikiwa sina ramani ya kazi na sikuwa hata na uhakika wa mlo wa mchana kwa siku hiyo iliingia sms ya muamala kwenye simu yangu kuwa nimepokea kiasi cha ml 4.5 kutoka kwa wakala.
Hakika sikuamini nilichokiona, kwa haraka hiyo pesa nikaihamishia kwenye lain yangu ya tigo pesa ml 2 na laini ya voda nikahamishia ml 2, mbio hadi kwa wakala nikaitoa pesa kwenye lain zote na ile iliyokuwa imebaki kwenye namba niliyotumiwa ya airtel nayo nikaitoa.
Na laini iliyopokea muamala sijaiweka hewani hadi sasa na kabla sijaitoa hewani sikupigiwa na mtu kwamba ametuma hela kwangu kimakosa na wala mimi sikuwa na ahadi na mtu eti anitumie hela.
Kwahiyo ninashukuru sana aliyenitumia hiyo hela, kiukweli hata kama angenipigia na kuniambia eti kakosea muamala asingeambulia kitu. Mungu amlinde sana nilikuwa nina Magumu sana asante Mungu, na nitakukumbuka 2022.
Mna matatizo nyieKisheria hukutakiwa kuhamisha hera kwa halaka wala kuzifunga namba zako zisitumike tena,ila ilibidi usubirie kama huyo muhusika atakutafuta au la,atlest miezi mitatu ndiyo uzitumie.