Asante 2022, nilipata mil. 4.5 kimasihara

NILIWAHI RUSHIWA MIL 1.MIL
NKAITOA FASTA .AKANIPIGIA MDADA MMOJA.NIKAMWAMBIA USIHOFU ZIKO SALAMANTAKUPIGIA...

UKWELI SIKUWA NA MPANGO HUO.

JION NAENDA HOME TOKA KMR PKPK IKANIFWATA PYUUU .MBELE IKANIGONGA NA TAA KULE. HANA LESENI..WALA KADI YA PKPK

NIKAPAK SEHEMU NIKAMPIGIA DADA NJOO MWENGE...PUMA AKAJA NILIPOMPA.AKATOA 30 ANIPE NKAISHIA.KUONGEXA 100K KUREKEBISHA..YAAN USIPORUDISHA UTAZILIPA HHOSPTALN
NIKOOOOOOOO PALEEEE KWA MASAWEE UTANIJULISHA
 
Sasa narudisha vipi na sijapigiwa hata simu na mtu kwamba kakosea
 
Hahahah yaani jamaa anajisifu lazima aje ailipe hio kitu
Acha vitisho mkuu sasa ningeirudisha vipi wakati aliyekosea ni wakala na hadi sasa sijapigiwa simu kwamba mtu kakosea
 
Niliwahi ingiziwa milioni , 4 NMB Kimakosa Wala sikujua imetoka wapi Ile pesa

Kwanza nilidhani ni utani nikaicheki Salio nikakuta IPO.

Nikawaza sana nikaoitee niitafune au vipi.

Nikaamua kuicha maana sio yangu na sijui alituma atakuwa katika wakati Ila nilijioa muda kwamba ikipita wiki nzima haijatolewa na wenyewe naitafuna itakuwa lost money.

Basi nikaamua kesho asubuhi kucheki Salio nikakuta haipo nikaishia kusonya tu[emoji1]

Anyway hio Hela mzee utailipa tu In one way or another direct or indirectly ila utaikunya tu just a matter of time

Muda utasema.
Usinitishe bhana
 
Nikiwa nimepitia misukosuko mingi tangu Januari ya mwaka 2022 Nitaikumbuka zaidi siku ya Alhamis tar 29 majira ya saa saba za mchana, nikiwa nimekaa kijiweni na jamaa zangu huku nikiwa sina ramani ya kazi na sikuwa hata na uhakika wa mlo wa mchana kwa siku hiyo iliingia sms ya muamala kwenye simu yangu kuwa nimepokea kiasi cha ml 4.5 kutoka kwa wakala.

Hakika sikuamini nilichokiona, kwa haraka hiyo pesa nikaihamishia kwenye lain yangu ya tigo pesa ml 2 na laini ya voda nikahamishia ml 2, mbio hadi kwa wakala nikaitoa pesa kwenye lain zote na ile iliyokuwa imebaki kwenye namba niliyotumiwa ya airtel nayo nikaitoa.

Na laini iliyopokea muamala sijaiweka hewani hadi sasa na kabla sijaitoa hewani sikupigiwa na mtu kwamba ametuma hela kwangu kimakosa na wala mimi sikuwa na ahadi na mtu eti anitumie hela.

Kwahiyo ninashukuru sana aliyenitumia hiyo hela, kiukweli hata kama angenipigia na kuniambia eti kakosea muamala asingeambulia kitu. Mungu amlinde sana nilikuwa nina Magumu sana asante Mungu, na nitakukumbuka 2022.
Mkuu

Hongera Sana!

Bunda ipi Mkuu!!?

Napakumbuka sana huko!!HASA washkaji zangu wa miaka ya tisini kina Biseko,nasaba,katikiro,makanya,mfungo wa Mama,mshangi,evarist,maiko,chacha mitaa ya RTC KARIBU na Bar ya MK!

Enzi hizo stendi ipo karibu na daily ya kina Mohamedi kesi na jamili!
 
Nikiwa nimepitia misukosuko mingi tangu Januari ya mwaka 2022 Nitaikumbuka zaidi siku ya Alhamis tar 29 majira ya saa saba za mchana, nikiwa nimekaa kijiweni na jamaa zangu huku nikiwa sina ramani ya kazi na sikuwa hata na uhakika wa mlo wa mchana kwa siku hiyo iliingia sms ya muamala kwenye simu yangu kuwa nimepokea kiasi cha ml 4.5 kutoka kwa wakala.

Hakika sikuamini nilichokiona, kwa haraka hiyo pesa nikaihamishia kwenye lain yangu ya tigo pesa ml 2 na laini ya voda nikahamishia ml 2, mbio hadi kwa wakala nikaitoa pesa kwenye lain zote na ile iliyokuwa imebaki kwenye namba niliyotumiwa ya airtel nayo nikaitoa.

Na laini iliyopokea muamala sijaiweka hewani hadi sasa na kabla sijaitoa hewani sikupigiwa na mtu kwamba ametuma hela kwangu kimakosa na wala mimi sikuwa na ahadi na mtu eti anitumie hela.

Kwahiyo ninashukuru sana aliyenitumia hiyo hela, kiukweli hata kama angenipigia na kuniambia eti kakosea muamala asingeambulia kitu. Mungu amlinde sana nilikuwa nina Magumu sana asante Mungu, na nitakukumbuka 2022.
Huna tofauti na mwizi
 
Brother unakula haki ya mtu hiyo ni sawa na wizi au dhulma usijisifu wala kufurahishwa na hilo.
 
Ungekuwa wewe ungefanyaje hebu niambie
Kisheria hukutakiwa kuhamisha hera kwa halaka wala kuzifunga namba zako zisitumike tena,ila ilibidi usubirie kama huyo muhusika atakutafuta au la,atlest miezi mitatu ndiyo uzitumie.
 
Nikiwa nimepitia misukosuko mingi tangu Januari ya mwaka 2022 Nitaikumbuka zaidi siku ya Alhamis tar 29 majira ya saa saba za mchana, nikiwa nimekaa kijiweni na jamaa zangu huku nikiwa sina ramani ya kazi na sikuwa hata na uhakika wa mlo wa mchana kwa siku hiyo iliingia sms ya muamala kwenye simu yangu kuwa nimepokea kiasi cha ml 4.5 kutoka kwa wakala.

Hakika sikuamini nilichokiona, kwa haraka hiyo pesa nikaihamishia kwenye lain yangu ya tigo pesa ml 2 na laini ya voda nikahamishia ml 2, mbio hadi kwa wakala nikaitoa pesa kwenye lain zote na ile iliyokuwa imebaki kwenye namba niliyotumiwa ya airtel nayo nikaitoa.

Na laini iliyopokea muamala sijaiweka hewani hadi sasa na kabla sijaitoa hewani sikupigiwa na mtu kwamba ametuma hela kwangu kimakosa na wala mimi sikuwa na ahadi na mtu eti anitumie hela.

Kwahiyo ninashukuru sana aliyenitumia hiyo hela, kiukweli hata kama angenipigia na kuniambia eti kakosea muamala asingeambulia kitu. Mungu amlinde sana nilikuwa nina Magumu sana asante Mungu, na nitakukumbuka 2022.
Endelea shukuru ila line ulizohamishia zimesajiliwa kwa alama ya vidole zote zinaweza Soma majina yako ulivoenda kutoa nayo imeonesha kifupi umejihamishia pesa isio yako wakiamua fatilia watakukamua mavi Kama hauna
 
Imekaa kama zile shuhuda za Mungu kanitendea miujiza
 
Back
Top Bottom