Asante Magufuli. Tumesikia Barabara ya Bagamoyo Mlandizi inajengwa

Mbagamoyo

Member
Joined
Dec 14, 2020
Posts
18
Reaction score
49
Wanajanvi hii ni special thread ya pongezi kwa His Exc. Magafuli kwa udhati wa kutusaidia wanabagamoyo pamoja na kuwa Mwanawetu mwenyewe alikuwa Rais, Mwanawetu Mwenyewe alikuwa Waziri wa Ujenzi na Baadae Elimu kwa kipindi Kirefu sana.

Mtani Magufuli, tumeona Kamji ketu ka Bagamoyo kanaimarika. Asanteni Wana TARURA.

Tumeona Barabara ya Bagamoyo Mlandizi watu wa Tanroads wanapita pita . Asante sana.

Hii barabara Ya Bagamoyo Mlandizi ndo inabeba sehemu kubwa ya mafuta ya kula, sukari, electronis used, na Mambo kadhaa kwa mikoa ya Kati mashariki Kama pwani, moro, etc.

Once again. Asante Magufuli, Asante TARURA, Asante TANROADS
 
Shida ya madikteta ni ku-personalize kila kitu

Yeye ndio savior,yeye ndio mungu,yeye ndio masihi,yeye ndio mtume

Hapa sio kodi wala serikali kwa ujumla ni "Magufuli" as a demi God!

As if ana hela au ana chochote cha kufanya chochote dunia hii,kumbe ni ofisi ya nchi na wala sio mtu!
Huku nyuma ya hao Madikteta kukiwa na kundi kubwa la misukule ya ku-praise kila kitu!!!
 
Hata Manazi yanamkumbuka Hitler, so issue sio kumkumbuka bali atakumbukwa na nani!!!

Lakini kwa upande mwingine, hata terrific moment of our lives huwa tunazikumbuka, so again, issue sio kukumbuka bali kukumbuka katika mazingira gani!!!
Mbona nishasema ni mtu wa kazi hana porojo kama hizi umeniandikia hapa wewe.
 
Wanajanvi hii ni special thread ya pongezi kwa His Exc. Magafuli kwa udhati wa kutusaidia wanabagamoyo pamoja na kuwa Mwanawetu mwenyewe alikuwa Rais, Mwanawetu Mwenyewe alikuwa Waziri wa Ujenzi na Baadae Elimu kwa kipindi Kirefu sana.

Mtani Magufuli, tumeona Kamji ketu ka Bagamoyo kanaimarika. Asanteni Wana TARURA.

Tumeona Barabara ya Bagamoyo Mlandizi watu wa Tanroads wanapita pita . Asante sana.

Hii barabara Ya Bagamoyo Mlandizi ndo inabeba sehemu kubwa ya mafuta ya kula, sukari, electronis used, na Mambo kadhaa kwa mikoa ya Kati mashariki Kama pwani, moro, etc.

Once again. Asante Magufuli, Asante TARURA, Asante TANROADS
Kwenu ni kijiji gani? Matimbwa, bomu, sunguvuni, yombo, chasimba n.k n.k
 
And FYI, nilijua tu utaongea hiyo hoja!!!

Hivi Magu ni mtu wa kazi asiye na porojo au ni mtu wa kelele kwa kila anachofanya huku akiwa na praise team kubwa nyuma yake hata kama wengine pia walifanya, tena mengine zaidi ya hayo!!!

Ndo kuna member mmoja kuna uzi kanikumbusha jinsi Engineer alivyokuwa anasifia Awamu ya 5 kuhusu Rusumo Power Project wakati huu mradi ni wa tangu 2012, and by 2013 World Bank na AfDB wakawa wamesha-approve pesa!!!

Tumesikia Praise Team inavyosifia Flyovers wakati miradi yote yeye kaja kutekeleza tu!!

Tunasikia praise team inavyosifia barabara za Dar es salaam wakati pesa ilishatoka tangu 2015!!!

Nadhani Magu kama ataondoka madarakani, I bet atautangazia umma wote projects zote alizofanikisha funding lakini hazijaanza ili hata ikianza kujengwa baada ya kuwa ameondoka, watu wote wafahamu ni Magu ndie kafanikisha wakati wenzake wameondoka kimya kimya!!
 
Unaonekana unachuki kubwa sana ila just kwa taarifa yako huyu JPM amefanya mambo makubwa sana ambayo atakumbukwa vizazi hadi vizazi.

Ni aina ya Marais ambao ni nadra sana kuwapata, sihitaji kuanza kukutajia kwasababu nafahamu kuwa unafahamu miradi mikubwa iliyotekelezwa chini yake.
 
Ni wajibu wa Serikali yoyote Duniani kutengeneza Miundo mbinu sababu ndiyo inayokusanya kodi.

Haya mambo ya kusifu mtu pasipo sababu mnakera sana nyie watu.
 
Wanajanvi hii ni special thread ya pongezi kwa His Exc. Magafuli kwa udhati wa kutusaidia wanabagamoyo pamoja na kuwa Mwanawetu mwenyewe alikuwa Rais, Mwanawetu Mwenyewe alikuwa Waziri wa Ujenzi na Baadae Elimu kwa kipindi Kirefu sana.

Mtani Magufuli, tumeona Kamji ketu ka Bagamoyo kanaimarika. Asanteni Wana TARURA.

Tumeona Barabara ya Bagamoyo Mlandizi watu wa Tanroads wanapita pita . Asante sana.

Hii barabara Ya Bagamoyo Mlandizi ndo inabeba sehemu kubwa ya mafuta ya kula, sukari, electronis used, na Mambo kadhaa kwa mikoa ya Kati mashariki Kama pwani, moro, etc.

Once again. Asante Magufuli, Asante TARURA, Asante TANROADS
Picha ya wana Bagamoyo wakishangaa hiyo barabara tafadhali, si unajuwa Wakwere na Wazaramo walivyo washamba. Tunaomba utuwekee hizo picha tafadhali.
 
Unaonekana unachuki kubwa sana ila just kwa taarifa yako huyu JPM amefanya mambo makubwa sana ambayo atakumbukwa vizazi hadi vizazi.

Ni aina ya Marais ambao ni nadra sana kuwapata, sihitaji kuanza kukutajia kwasababu nafahamu kuwa unafahamu miradi mikubwa iliyotekelezwa chini yake.
Acha ujinga wewe unalipwa kusifu na kuabudu
 
Mnakuwa kama wanawake bana kila kitu kusifia sifia
Wewe ulizaliwa na ng'ombe dume kwanini unawachulia wanawake kama sio watu....sio lazima tufanane mitazamo na hiyo ndio inatufanya tuwe binadamu kuheshimu choices za kila mtu.
 
Kwenu ni kijiji gani? Matimbwa, bomu, sunguvuni, yombo, chasimba n.k n.k
Matimbwa hapo nina kashamba kangu kako barabarani kabisa. Asante Magufuli![emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Wanajanvi hii ni special thread ya pongezi kwa His Exc. Magafuli kwa udhati wa kutusaidia wanabagamoyo pamoja na kuwa Mwanawetu mwenyewe alikuwa Rais, Mwanawetu Mwenyewe alikuwa Waziri wa Ujenzi na Baadae Elimu kwa kipindi Kirefu sana.

Mtani Magufuli, tumeona Kamji ketu ka Bagamoyo kanaimarika. Asanteni Wana TARURA.

Tumeona Barabara ya Bagamoyo Mlandizi watu wa Tanroads wanapita pita . Asante sana.

Hii barabara Ya Bagamoyo Mlandizi ndo inabeba sehemu kubwa ya mafuta ya kula, sukari, electronis used, na Mambo kadhaa kwa mikoa ya Kati mashariki Kama pwani, moro, etc.

Once again. Asante Magufuli, Asante TARURA, Asante TANROADS
Aaaah.... jifunzeni kuwapongeza na kuwashukuru wawakilishi wenu wabunge na madiwani, mnawapa tabu kusema kuwa chini ya uongozi wao wamefanikisha hayo. Yani imefika wakati sioni kabisa wabunge wakipongezwa kwa kuleta mendeleo majimboni
Acheni hizo nao wanapambana
 
Back
Top Bottom