Wanajanvi hii ni special thread ya pongezi kwa His Exc. Magafuli kwa udhati wa kutusaidia wanabagamoyo pamoja na kuwa Mwanawetu mwenyewe alikuwa Rais, Mwanawetu Mwenyewe alikuwa Waziri wa Ujenzi na Baadae Elimu kwa kipindi Kirefu sana.
Mtani Magufuli, tumeona Kamji ketu ka Bagamoyo kanaimarika. Asanteni Wana TARURA.
Tumeona Barabara ya Bagamoyo Mlandizi watu wa Tanroads wanapita pita . Asante sana.
Hii barabara Ya Bagamoyo Mlandizi ndo inabeba sehemu kubwa ya mafuta ya kula, sukari, electronis used, na Mambo kadhaa kwa mikoa ya Kati mashariki Kama pwani, moro, etc.
Once again. Asante Magufuli, Asante TARURA, Asante TANROADS