LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Niliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu.
Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH. Mbowe ameongoza Kwa miaka 21 Mimi namuona Mbowe kama mwanasiasa mwenye experience ya kuongoza Chama cha siasa Kwa muda WA miaka 21.
Kwa mantiki hiyo Basi huyu ndio anapaswq kuamiwa Zaidi Kwa sababu tayari ana experience ya miaka 21 .
Nikasema Zaidi kwamba hiyo ni hesabu ndogo Sana hata mtoto wa darasa la tatu anaweza kusolve.
Mbowe = 21 years of experience.
Lissu = 0 year of experience.
And u guys want to replace 20 with zero?🤣🤣🤣🤣
Wanaomtaka Lissu awe mbadala wa Mbowe hawana tofauti na mwenda wazimu.
Kwa sababu ni mtu mwenye wazimu pekee ndio anaweza Kukubali kureplace his 20 shillings with zero.
Kwenye mahojiano Yake na BBC Mbowe kasema kwamba uwezo wa mtu katika uongozi WA Chama cha kiasiasa hauwezi kupimwa Kwa mwaka mmoja tu au miaka miwili unapimwa Kwa muda mrefu.
#Freeman Mbowe mbele Kwa mbele