Unajua kuna baadhi yetu wanatoa hoja dhaifu mpaka unashangaa, halafu kibaya anaanza kwa kucrash wote watakaopinga upuuzi wake kwamba wamesoma elimu ya kukalilishwa. Je kila miaka ya uchanguzi nchi zote za ulaya na marekani wanaongozwa na maraisi wapya , wengi hawajawahi kuwa maraisi, je kwa nini wasirudie rudie maraisi wa nyuma ndio warudie.
Eti Lisu ana uzoefu zero, kweli kabisa mtu anaandika utumbo huu, mimi sina ushabiki. Hivi uzoefu unaojaribu kuongea ni upi, cheo au uzoefu wa kuongoza katika level hiyo. Hii ni urgument ya kitoto sana na kama mbowe ataitumia kwenye uchaguzi wa taifa ataangukia mgongo asubuhi na mapema. Hoja ni kwamba kwa miaka 20 hujaweza kuleta changes, je utaweza kwa miaka 5.
Nikimaanisha umetumia uzoefu wako wa miaka 5 ya kwanza, uzoefu wa miaka 5 ya pili, uzoefu wa miaka 5 ya tatu, uzoefu wa miaka miaka 5 ya nne, huoni Mh amefikia kikomo cha ubunifu. Hakika huo uzoefu angeutumia kama mshauri wa chama na kuachia watu wapya na mawazo mapya. Wanasema dont expect new results using the same way of doing things. Changes are inevitable now,