Asante Mbowe, umeongea hoja ambayo nilii-post hapa JF siku kadhaa zilizopita. Wewe umeiweka vizuri zaidi kuliko mimi

Very interestingly! Alisha maliza mbinu zake zote?

How?

Umejuaje? Amekwambia hivyo?
Mbna no common sense mtetezi, huoni anarudia yaleyale kwa kila tukio? Hana jipya jingine hata kama anatoa posho na anaungwa mkono na chama tawala usijitoe ufahamu. Hamna mwenye imani tena na chadema kwa sasa zaidi ya wenye maslahi binafsi! Kumchagua tena itakua cuf ingine in 2-3 yrs otherwise wajitafakari, watajua wenyewe
 
Hizo " deliverables" zako zinakuwa tested Kwa kutumia standard ipi kama Sio muda ulio hudumu? Ambayo ndio experience?

Anyways, Soma tangazo la Kazi kwenye kampuni ya muhaya 👇👇👇

1.=The applicant must be fluent in English, Kiswahili and Kihaya.

2: With 5 years of experience
.
Then what!

Kwa miaka 20+ Mmemonitor performance mkaionaje? FAM ni applicant kwa mara ya kwanza?
 
Wewe ndio Zero Huyo Mbowe wako Mzee wa Maridhiano Kauza Mechi Mara kibao mchana kweupe anzia era ya slaa,mzee mamvi(lowassa) etc. Watu wanataka watu wenye kiburi cha Akili mbele ya wenye mamlaka kama Lissu wewe unaongelea experience?! hao viongozi wako na miaka 50 na kenda ya uongozi wao experience yao imekupa nini? kmmk
 
Niliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu.

Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH. Mbowe ameongoza Kwa miaka 21 Mimi namuona Mbowe kama mwanasiasa mwenye experience ya kuongoza Chama cha siasa Kwa muda WA miaka 21.

Kwa mantiki hiyo Basi huyu ndio anapaswq kuamiwa Zaidi Kwa sababu tayari ana experience ya miaka 21 .

Nikasema Zaidi kwamba hiyo ni hesabu ndogo Sana hata mtoto wa darasa la tatu anaweza kusolve.

Mbowe = 21 years of experience.

Lissu = 0 year of experience.

And u guys want to replace 20 with zero?🤣🤣🤣🤣

Wanaomtaka Lissu awe mbadala wa Mbowe hawana tofauti na mwenda wazimu.

Kwa sababu ni mtu mwenye wazimu pekee ndio anaweza Kukubali kureplace his 20 shillings with zero.

Kwenye mahojiano Yake na BBC Mbowe kasema kwamba uwezo wa mtu katika uongozi WA Chama cha kiasiasa hauwezi kupimwa Kwa mwaka mmoja tu au miaka miwili unapimwa Kwa muda mrefu.

#Freeman Mbowe mbele Kwa mbele
Vipi na Mbowe alipochaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, alikuwa na uzoefu wa miaka mingapi? Au yeye alizaliwa na kipaji cha kuwa Mwenyekiti kutoka kwa Mungu?

Maana umesema ni bora chama kiendelee kuongozwa na mtu mwenye 21 years experience, badala ya huyo wa 0 experience (ingawa bado nitakupinga! Kwa sababu Lissu hana 0 experience kama unavyotaka kuwaaminisha watu! Lissu amekuwa Mwanasheria Mkuu wa chama, amekuwa ni mjumbe wa kamati kuu ya chama, Mbunge wa kuchaguliwa, na pia Makamu Mwenyekiti wa Chama)!!

Sasa hiyo 0 experience inatoka wapi?
 
Screenshot_20250112-163104~2.jpg
 
Acheni uwendawazimu chama kinatakiwa kijisimamie chenyewe pasipo kuangalia experience ya mtu, maana leo yupo kesho asipokuwepo inamaana mliobaki nyote magarasa! si ndivyo..?
mbona ccm wao wanamudu kubadili wenyeviti tena wakiwa ni marais kwa maana anakazi mbili ya chama na serikali!, wekeni uimara kwenye vyama vyenu zalisheni watu wajuvi ila huko Chadema watu wajuvi ndo kwanza mnawatoa wapi zito wapi slaa haya lissu nae huyu hapa kuna uwezekano akishindwa akatimka!, shitukeni.
 
Niliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu.

Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH. Mbowe ameongoza Kwa miaka 21 Mimi namuona Mbowe kama mwanasiasa mwenye experience ya kuongoza Chama cha siasa Kwa muda WA miaka 21.

Kwa mantiki hiyo Basi huyu ndio anapaswq kuamiwa Zaidi Kwa sababu tayari ana experience ya miaka 21 .

Nikasema Zaidi kwamba hiyo ni hesabu ndogo Sana hata mtoto wa darasa la tatu anaweza kusolve.

Mbowe = 21 years of experience.

Lissu = 0 year of experience.

And u guys want to replace 20 with zero?🤣🤣🤣🤣

Wanaomtaka Lissu awe mbadala wa Mbowe hawana tofauti na mwenda wazimu.

Kwa sababu ni mtu mwenye wazimu pekee ndio anaweza Kukubali kureplace his 20 shillings with zero.

Kwenye mahojiano Yake na BBC Mbowe kasema kwamba uwezo wa mtu katika uongozi WA Chama cha kiasiasa hauwezi kupimwa Kwa mwaka mmoja tu au miaka miwili unapimwa Kwa muda mrefu.

#Freeman Mbowe mbele Kwa mbele
NAOMBA UNIUNGANISHE KWENYE GROUP LA KUCHUKUA POSHO MAANA KAMA UNAWEZA KUMTETEA GAIDI WE NI ZAIDI YA ZOMBIE.
 
Akifa je? Eti uzoefu ndo hoja. Hata kina Lipumba, Rungwe etc wana uzoefu mkubwa tu lkn wananchi haiwahsu wanataka wabunge, madiwani, wenyeviti, mameya wa kutosha na ikiwezekana rais toka upinzani sio. Sio mwenyekiti wa kutoa matamko tu uchaguzi unaporwa na watu wanaishi na ufukara ambao ccm inaamua maisha yao bila kupingwa na mtu yeyote!
 
Unajua kuna baadhi yetu wanatoa hoja dhaifu mpaka unashangaa, halafu kibaya anaanza kwa kucrash wote watakaopinga upuuzi wake kwamba wamesoma elimu ya kukalilishwa. Je kila miaka ya uchanguzi nchi zote za ulaya na marekani wanaongozwa na maraisi wapya , wengi hawajawahi kuwa maraisi, je kwa nini wasirudie rudie maraisi wa nyuma ndio warudie.

Eti Lisu ana uzoefu zero, kweli kabisa mtu anaandika utumbo huu, mimi sina ushabiki. Hivi uzoefu unaojaribu kuongea ni upi, cheo au uzoefu wa kuongoza katika level hiyo. Hii ni urgument ya kitoto sana na kama mbowe ataitumia kwenye uchaguzi wa taifa ataangukia mgongo asubuhi na mapema. Hoja ni kwamba kwa miaka 20 hujaweza kuleta changes, je utaweza kwa miaka 5.

Nikimaanisha umetumia uzoefu wako wa miaka 5 ya kwanza, uzoefu wa miaka 5 ya pili, uzoefu wa miaka 5 ya tatu, uzoefu wa miaka miaka 5 ya nne, huoni Mh amefikia kikomo cha ubunifu. Hakika huo uzoefu angeutumia kama mshauri wa chama na kuachia watu wapya na mawazo mapya. Wanasema dont expect new results using the same way of doing things. Changes are inevitable now,
 
Niliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu.

Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH. Mbowe ameongoza Kwa miaka 21 Mimi namuona Mbowe kama mwanasiasa mwenye experience ya kuongoza Chama cha siasa Kwa muda WA miaka 21.

Kwa mantiki hiyo Basi huyu ndio anapaswq kuamiwa Zaidi Kwa sababu tayari ana experience ya miaka 21 .

Nikasema Zaidi kwamba hiyo ni hesabu ndogo Sana hata mtoto wa darasa la tatu anaweza kusolve.

Mbowe = 21 years of experience.

Lissu = 0 year of experience.

And u guys want to replace 20 with zero?🤣🤣🤣🤣

Wanaomtaka Lissu awe mbadala wa Mbowe hawana tofauti na mwenda wazimu.

Kwa sababu ni mtu mwenye wazimu pekee ndio anaweza Kukubali kureplace his 20 shillings with zero.

Kwenye mahojiano Yake na BBC Mbowe kasema kwamba uwezo wa mtu katika uongozi WA Chama cha kiasiasa hauwezi kupimwa Kwa mwaka mmoja tu au miaka miwili unapimwa Kwa muda mrefu.

#Freeman Mbowe mbele Kwa mbele
Mnahubiri katiba mpya, demokrasia na chaguzi huru za haki je Mme jipima na kujipambanua? , Angalizo ni aibu kuvihubiri kwa kelele nyingi nyuma mikamera kumbe hamuishi navyo

Do you practice democracy and the best electoral system
 
Kuongoza chama si kazi ya kitoto ,waulize kina Lipumba ,Mbatia Jinsi vyama vyao vilivyowafia mkononi.....Ukiwa na Njaa hauwezi kuendesha chama cha siasa.

"Tulipewa majukumu ya kutafuta pesa ya vikao ,tulishindwa ikabidi mbowe atoe milioni 250 peke yake" - Wenje.

Basi wakampe uenyekiti Mo au GSM
 
Akawekeze kwnye nini? Chama cha siasa ni mali ya umma sio ya mtu binafsi uchumi wa ccm haumhusu Samia why Lissu ajenge uchumi wake? Hoja mfu hii
Ajijenge kwanza kiuchumi ,mtu mwenye njaa ni rahisi sana kununulika na pia kwa mujibu wa rafiki yake alisema jamaa halipi madeni/dhulumati ,anaomba sana hizi laki 5 ,milioni milioni ,sasa mtu kama huyo akikutana na kina Abdul wakampa Biii anauza chama mazima....Fedha za bunge alizolipwa bank wamelamba baadhi.
 
Niliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu.

Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH. Mbowe ameongoza Kwa miaka 21 Mimi namuona Mbowe kama mwanasiasa mwenye experience ya kuongoza Chama cha siasa Kwa muda WA miaka 21.

Kwa mantiki hiyo Basi huyu ndio anapaswq kuamiwa Zaidi Kwa sababu tayari ana experience ya miaka 21 .

Nikasema Zaidi kwamba hiyo ni hesabu ndogo Sana hata mtoto wa darasa la tatu anaweza kusolve.

Mbowe = 21 years of experience.

Lissu = 0 year of experience.

And u guys want to replace 20 with zero?🤣🤣🤣🤣

Wanaomtaka Lissu awe mbadala wa Mbowe hawana tofauti na mwenda wazimu.

Kwa sababu ni mtu mwenye wazimu pekee ndio anaweza Kukubali kureplace his 20 shillings with zero.

Kwenye mahojiano Yake na BBC Mbowe kasema kwamba uwezo wa mtu katika uongozi WA Chama cha kiasiasa hauwezi kupimwa Kwa mwaka mmoja tu au miaka miwili unapimwa Kwa muda mrefu.

#Freeman Mbowe mbele Kwa mbele
hivi rais wa wizi wa kura msumbiji kwa wa2 wanampinga???
 
Ajijenge kwanza kiuchumi ,mtu mwenye njaa ni rahisi sana kununulika na pia kwa mujibu wa rafiki yake alisema jamaa halipi madeni/dhulumati ,anaomba sana hizi laki 5 ,milioni milioni ,sasa mtu kama huyo akikutana na kina Abdul wakampa Biii anauza chama mazima....Fedha za bunge alizolipwa bank wamelamba baadhi.
Mbna bilionea ananunuliwa left n right tu km yupo maggot?
 
Niliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu.

Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH. Mbowe ameongoza Kwa miaka 21 Mimi namuona Mbowe kama mwanasiasa mwenye experience ya kuongoza Chama cha siasa Kwa muda WA miaka 21.

Kwa mantiki hiyo Basi huyu ndio anapaswq kuamiwa Zaidi Kwa sababu tayari ana experience ya miaka 21 .

Nikasema Zaidi kwamba hiyo ni hesabu ndogo Sana hata mtoto wa darasa la tatu anaweza kusolve.

Mbowe = 21 years of experience.

Lissu = 0 year of experience.

And u guys want to replace 20 with zero?🤣🤣🤣🤣

Wanaomtaka Lissu awe mbadala wa Mbowe hawana tofauti na mwenda wazimu.

Kwa sababu ni mtu mwenye wazimu pekee ndio anaweza Kukubali kureplace his 20 shillings with zero.

Kwenye mahojiano Yake na BBC Mbowe kasema kwamba uwezo wa mtu katika uongozi WA Chama cha kiasiasa hauwezi kupimwa Kwa mwaka mmoja tu au miaka miwili unapimwa Kwa muda mrefu.

#Freeman Mbowe mbele Kwa mbele
Unlike others, in 20 years chama kimefika wapi? What new ata offer ambacho hajakifanya in those 20 years?

Uongozi is not about experience, otherwise tungekuwa na marais wa maisha
 
CCM wana experience ya miaka 60 kwahiyo mkae kwa kutulia.
Kweli kabisa na kesho wasije kwenye kampeni na lugha ya 61 ya CCM yatosha wamekaa sana hawana jipya 😆!.
 
Back
Top Bottom