Asante Mbowe, umeongea hoja ambayo nilii-post hapa JF siku kadhaa zilizopita. Wewe umeiweka vizuri zaidi kuliko mimi

Asante Mbowe, umeongea hoja ambayo nilii-post hapa JF siku kadhaa zilizopita. Wewe umeiweka vizuri zaidi kuliko mimi

Acheni uwendawazimu chama kinatakiwa kijisimamie chenyewe pasipo kuangalia experience ya mtu,

Chama kinaundwa na watu na uhai WA Chama unahitaji experience ya wanachama. Chama ni kama Kijiji. Kijiji bila wazee hakiendi
maana leo yupo kesho asipokuwepo inamaana mliobaki nyote magarasa! si ndivyo..?

Chama Sio kikundi cha watabiri mkuu kujua mtu Fulani asipokuwepo Nini kitatokea
mbona ccm wao wanamudu kubadili wenyeviti tena wakiwa ni marais kwa maana anakazi mbili ya chama na serikali!,
CCM ni Chama tawala Chadema ni Chama kinacho jiandaa kuchukua Dola huwezi kuwa unabadilisha wenyeviti bila mpango
wekeni uimara kwenye vyama vyenu zalisheni watu wajuvi ila huko Chadema watu wajuvi ndo kwanza mnawatoa wapi zito wapi slaa haya lissu nae huyu hapa kuna uwezekano akishindwa akatimka!, shitukeni.

Watu ndio Hao Akina Mbowe mkuu
 
Sina tatizo na mbowe ila kwakweli amekaa muda mrefu sana madarakani, na Lisu shida yake ni kulipuka sana,

Ila yote kwa yote naona chadema wanahitaji uongozi mpya, Mbowe anaweza kuwa mshauri wa kudumu .
Lissu is crazy.

His mind has stuck in the 90s. He thinks 2025 is 1995
 
Lissu hana kiburi cha Akili ila ana kiburi cha kike. " Feminine Ego" Tatizo watanzania your very poor judges of characters ndio maana naona " kiburi cha kike" anacho kionyesha Lissu ndio ujasiri wakati Sio unajisiri, but it is the lack to appreciate and assess risks and dangers kama wafanyavyo wanawake wengi.
Wewe Kama umeamua kumuita Lissu Mwanamke kwanini unazungukazunguka?!

Be bold, if you really believe what you say be open and confident enough to say it out openly, acha kujing’atang’ata. Coward.

Mbowe is a masculine guy ndio maana unaona yupo composed. He has sense. Je is Diplomatic etc.
Nilikua nikijiuliza huyu jamaa anaepigia wanaume wenzie kelele kila siku humu ndani kwa kuwalipia watoto wao shule za gharama kwa jasho lao, Ana shida gani haswa?!

Now I understand, kumbe wale wale ass kissers, immoral creatures, unashamed piece of blood clot.

Lissu apewe ukurugenzi wa Takukuru na Sio uongozi WA taasisi kubwa kama Chadema

Nawalaumu wanaowalipa bila kuwapa proper hoja na training ya ku defend hizo hoja bila kupakana matope wala kubishana vitu vya mantiki na watu waliojaza uji wa sembe kichwani.

Huu ujinga wa kushabikia watu bila kuangalia ama kuzingatia baadae ya ujumla ya nchi yetu na vizazi vyetu umetufikisha pabaya Kama nchi, siku yaja!
 
Wewe Kama umeamua kumuita Lissu Mwanamke kwanini unazungukazunguka?!

Be bold, if you really believe what you say be open and confident enough to say it out openly, acha kujing’atang’ata. Coward.
Kwanini nimuite mwanamke wakati yeye ni mwanaume?

FYI kila mwanadamu ana masculine plus feminine parts. Infact those are two sides of every human being. Kinacho tokeaga ni kwamba some human beings are so much in touch with the other sides.

But in some situations huwezi kuelewa kama a guy is demonstrating his feminine traits.

Wanaume huwa tuna reason na Kwa sababu hiyo Tuna uwezo mkubwa Sana Kwa assess danger and move accordingly.

Wanawake wanaongozwa Kwa hisia na Kwa sababu hiyo they don't appreciate danger pale wanapokua wanaongozwa na hisia.

Kwa mtu asie jua kutofautisha anaweza kudhani ni ujasiri lakini kumbe ni mtu ana demonstrate a feminine trait.

Kwa mfano mambo ambayo amekuwa akiyafanya na kuyaongea Bwana Lissu, mwanaume ambae yupo deeply connected with his masculinity hawezi kufanya Kwa sababu we know how to assess and appreciate danger.

1. Kumtukana magufuli Huku ukiwa ndani ya mipaka ya nchi na hauna ulinzi wala Nini ile ni feminine trait.

2. Kutoa shutuma dhidi ya kampuni kubwa kama Tigo was a very dangerous move. ( Big Companies knows " the mafia way" and they have shooters in their payroll.

3. Kutoa hadharani Siri za Chama etc.

4. He is not loyal

5..He loves some nonsensical competition

Kwenye night clubs Malaya wa clubs wanakuwaga " majasiri" Sana.. brother man kama wewe ukimzingua kidogo tu hakawii kukupa tusi la mama au kukuita Juma Lokole.

Ule Sio ujasiri. Ni " feminine Ego" wanakutukana Kwa sababu wanajua Kuna vibaunsa nyuma Yao ukijibu mapigo vitakuja kumsaidia na kukupora vitu vyako.

Huyo ndio Lissu Sasa anafanya vituko vyake kwa sababu anajua Kuna watu kama wewe mpo nyuma Yake mtamshangilia
Nilikua nikijiuliza huyu jamaa anaepigia wanaume wenzie kelele kila siku humu ndani kwa kuwalipia watoto wao shule za gharama kwa jasho lao, Ana shida gani haswa?!

Now I understand, kumbe wale wale ass kissers, immoral creatures, unashamed piece of blood clot.
U know what? Am more connected with my masculine energy so I will never respond to this the way you want me to do. Sisi wanaume huwa hatutukani matusi
Nawalaumu wanaowalipa bila kuwapa proper hoja na training ya ku defend hizo hoja bila kupakana matope wala kubishana vitu vya mantiki na watu waliojaza uji wa sembe kichwani.

Huu ujinga wa kushabikia watu bila kuangalia ama kuzingatia baadae ya ujumla ya nchi yetu na vizazi vyetu umetufikisha pabaya Kama nchi, siku yaja!
 
Lisu ni tapeli
Wanao taka Lissu awe Mwenyekiti wa Chadema wanatakiwa kuwa studied.

Yani kabisa kabisa yani mtu anataka Lissu ndio awe Mwenyekiti wa Chadema?

🤣🤣🤣🤣🤣

Utoto raha nyie you can just think any how.
 
Ndiyo maana watanzania bado wanaendelea kuwa na imani na CCM. 😂😂😂

Tafsiri halali tokea kwa watu kindaki ndaki haya:

GgorHp4XUAAE0_u.jpeg

LIKUDA, Erythrocytes, fazila, Tlaa-tlaah na mienzao waliokataa kwa misuli ya mikono, busara kutamalaki!

Hivi kuhusiana na Sarungi kuna alilosema huyu ndugu au hayupo wao aliyehangilia?
 
Lissu hana kiburi cha Akili ila ana kiburi cha kike. " Feminine Ego" Tatizo Tanzanians are very poor judges of characters ndio maana mnaona " kiburi cha kike" anacho kionyesha Lissu ndio ujasiri wakati Sio, but it is the lack to appreciate and assess risks and dangers kama wafanyavyo wanawake wengi.

Mbowe is a masculine guy ndio maana unaona yupo composed. He has sense. He is Diplomatic. He is wise etc.

Lissu apewe ukurugenzi wa Takukuru na Sio uongozi WA taasisi kubwa kama Chadema
Huyo Mbowe Ameuza Mechi how many times?! Lissu awe na kiburi cha kike kama mama yako au bibi yako Atatufaa hivyohivyo
 
Chama kinaundwa na watu na uhai WA Chama unahitaji experience ya wanachama. Chama ni kama Kijiji. Kijiji bila wazee hakiendi

Chama Sio kikundi cha watabiri mkuu kujua mtu Fulani asipokuwepo Nini kitatokea

CCM ni Chama tawala Chadema ni Chama kinacho jiandaa kuchukua Dola huwezi kuwa unabadilisha wenyeviti bila mpango

Watu ndio Hao Akina Mbowe mkuu
Mnahaha sana kama wafa maji mnajua kabisa Mbowe akibaki Mwenyekiti Ndio Salama Yenu Otherwise CCM itageuka kuwa FRELIMO. MMEZOEA KUMTISHA KUMPORA MALI ZAKE ANAWAUZIA MECHI MCHANA KWEUPE.PATHETIC TUMEMCHOKA MZEE WA MARIDHIANO IT'S EITHER AACHIE KITI AU ABAKI NA CHAMA CHAKE AAMBULIE KURA 3 ZA KINA BONIYAI NA WENZAKE
 
Kabla FAM hajaachia uenyekiti, CCM iachie nchi kwa chama kingine kwanza.
 
Mnahaha sana kama wafa maji mnajua kabisa Mbowe akibaki Mwenyekiti Ndio Salama Yenu Otherwise CCM itageuka kuwa FRELIMO. MMEZOEA KUMTISHA KUMPORA MALI ZAKE ANAWAUZIA MECHI MCHANA KWEUPE.PATHETIC TUMEMCHOKA MZEE WA MARIDHIANO IT'S EITHER AACHIE KITI AU ABAKI NA CHAMA CHAKE AAMBULIE KURA 3 ZA KINA BONIYAI NA WENZAKE
You are a keyboard warrior
 
Msimuingize mbowe kingi halafu aje kushindwa kujenga hoja mbele ya ccm kwa mambo hayohayo ya kukaa muda mrefu madarakani. Mbowe apishe mtu mwingine naye apate uzoefu wa kuongoza chama. Hoja dhaifu sana hii
Ccm hawataambiwa watoke kwa maneno au hoja watatolewa kwa sanduku la kura na mbowe atolewe kwa sanduku la kura ...
 
Kwa mantiki hiyo Basi huyu ndio anapaswq kuamiwa Zaidi Kwa sababu tayari ana experience ya miaka 21 .
Hii mantiki ingetumika kwake alipewa chama, miaka 21 ya uzoefu ingetoka wap? Malizia mitano tena kwa mwamba.
 
Unafanya kazi wapi mheshimiwa? Kazini tunapimwa kwa experience tu au deliverables?

Hii nayo ni hoja ya kitoto, Unapewa kazi ukiwa na experience, halafu unapewa deliverables, ukivuka lengo wewe ndiye, Sasa huyo wa miaka 20+plus mtuambie nini cha kujivunia, (kinatakiwa kiwe aligned na malengo ya Chama cha Siasa ambayo ni kushika dola) Au ninyi malengo yenu ni kupiga mchakamchaka tu na kufanya biashara ya ruzuku?
Nyerere alishasema ...
Alafu kumbuka chadema ilikuwa ndogo kulikuwa na nccr CDM iliwaunga mkono,ikaja tlp na cuf CDM iliwaunga mkono ....Leo chadema ndio mbali Kama chama Cha upinzani vyengine NI Kama kampuni za mfukoni...mafanikio ya mbowe NI kukifikisha hapa kilipo...unaona jitihada za dola kukikwamisha chadema na watu kuogopa kikipa nguvu...
 
LIKUD ni Kheri uendelee na mada zako za ulozi na unajimu ndio eneo linalo kufit zaidi.

Huku kwenye siasa naona unaharibu sana mkuu.
 
Me si mshabiki sana wa vyama ila swala la uzoefu, silihafiki sana maana wakati yeye anaanza alipatia wapi uzoefu. Tujifunze kuamini watu wapya. Hawezi dumu milele itafika wakati ataachia wasio na uzoefu na watapatia huo uzoefu humo humo.
 
Experience haimfanyi mtu kuwa bora zaidi kuliko wengine,hata makazini zaidi unaeza ukawa mwepesi wa kujua faili fulani liko wapi kirahisi,ufanisi na uzoefu havishabihiani,hata asie mzoefu anaweza kuwa bora zaidi
Labda kama una hoja nyingine
 
Back
Top Bottom