Asante Mbowe, umeongea hoja ambayo nilii-post hapa JF siku kadhaa zilizopita. Wewe umeiweka vizuri zaidi kuliko mimi

Wewe si mchawi tu?🤣🤣
 
Mbna bilionea ananunuliwa left n right tu km yupo maggot?

Bilionea kanunuliwa wapi? Mbona Chama hakijamfia? Biashara zake kubwa za ndani wamezimaliza lakini za nje wameshindwa ,ila za ndani mwamba kabadili system ya uendeshaji ya kutojiweka front yeye.
 
Bilionea kanunuliwa wapi? Mbona Chama hakijamfia? Biashara zake kubwa za ndani wamezimaliza lakini za nje wameshindwa ,ila za ndani mwamba kabadili system ya uendeshaji ya kutojiweka front yeye.
Unaweza kuzitaja za nje? Au nawe bendera fuata upepo aliowasema mkwere?
 
Hivi unajua anayemtetea hana Degree
 
Nikikumbuka enzi lipumba anapokelewa na ma-Fuso na kauli mbiu yao,"NGANGARI"
Nasema hiiiiiiiiii,wacha ashinde ili amalize hoja na sababu za kua mpinzani.
Imagine hajamaliza suala la Lowasa kumleta na kumsafisha na tuhuma za miaka nenda Rudi,sasa anaenda kutoa hoja ya uhalali wa CCM kuendelea kutawala milele maana binadamu hajakamilika kama alivyo chairman
 
Wakati Mbowe anashika madalaka alikuwa ana experience ya miaka minga?...🤔🤔

Je, historia ya uongozi wake ikoje?....
Anafaa kuongoza kwa wakati huu tuliopo?...🤔🤔
 
Hiyo Demokrasia ya kusema fulani akae muda kadhaa apishe sijui imetoka wapi, Demokrasia ya kweli ni kusema wakati wowote watu wakikuchoja uondoke, wakuondoe no matter umekaa miaka mia moja au masaa mawili...

Ila ndio hivyo huu ni muendelezo wa maigizo ya Demokrasia na hakuna Demokrasia yoyote, popote duniani..., The best we can do ni kujiuliza ni nini tunataka na kufuata hizo taratibu tulizojiwekea.
 
Mbona hiyo hoja uliyotoa sio ya kisomi? Ni kwa nini mwanamziki akipanda kwenye jukwaa, hata acheze vizuri kupita wote, mda ukifika anashuka jukwaani na kuwaachia wengine. Mbowe sio peke yake mwenye kipaji cha uongozi kwenye chama, wapo wengi, ni mda wa kuwaachia wengine.
 
Sasa unadhani Mbowe yeye atapata outcome tofauti at the end of the road wakati all the “brotherhood brothers” amepita nao njia moja kwa mbinu zile zile?

The only difference (and same quality with brother ZK) is his willingness to go a step further in getting whatever he’s told to “fetch.

Wote ni pawns tu.
 
Hii ndio sababu wananchi kwa wingi wao wamebaki kuwaona wanaChadema Kama wehu!

Ninyi watu huyu Lissu ndio alikua Mwamba wenu na Jiwe la Kati Sijui nini nini na mliwaaminisha watanzania zaidi ya 50mln kwamba anafaa kuwaongoza katika Safari yao ya kuisaka nchi ya ahadi ya asali na maziwa!?!

Leo hii amekua kapuku hasiefaa kuongoza Chama ambacho hakina wanachama japo milioni 10?!?

Siasa majitaka ni pure invention of a black man, Tanzanian to be specific!!

Pathetic really.
 
Sina tatizo na mbowe ila kwakweli amekaa muda mrefu sana madarakani, na Lisu shida yake ni kulipuka sana,

Ila yote kwa yote naona chadema wanahitaji uongozi mpya, Mbowe anaweza kuwa mshauri wa kudumu .
 
Lissu hana kiburi cha Akili ila ana kiburi cha kike. " Feminine Ego" Tatizo Tanzanians are very poor judges of characters ndio maana mnaona " kiburi cha kike" anacho kionyesha Lissu ndio ujasiri wakati Sio, but it is the lack to appreciate and assess risks and dangers kama wafanyavyo wanawake wengi.

Mbowe is a masculine guy ndio maana unaona yupo composed. He has sense. He is Diplomatic. He is wise etc.

Lissu apewe ukurugenzi wa Takukuru na Sio uongozi WA taasisi kubwa kama Chadema
 
Bilionea kanunuliwa wapi? Mbona Chama hakijamfia? Biashara zake kubwa za ndani wamezimaliza lakini za nje wameshindwa ,ila za ndani mwamba kabadili system ya uendeshaji ya kutojiweka front yeye.
History inatabia ya kujirudia mpaka pale utakapoelewa somo ndio utavuka.

Ule upepo wa 2016-2019 ulioziweka wazi nyeti za kuku huko migombani haukawii kuvuma tena maana anaebonyeza switch ya Fan anamiliki nyuzi zake.

Mic test za majuzi zimemuweka rasmi mrithi wake hadharani,mdhamini Yule Yule, baba mmoja mama mmoja… akizubaa imo.
 
Vipi na Mbowe alipochaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, alikuwa na uzoefu wa miaka mingapi? Au yeye alizaliwa na kipaji cha kuwa Mwenyekiti kutoka kwa Mungu?
Nyakati za kisiasa ziliruhusu

Zero experience ya kuwa Top wa Chama cha Siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…