Asante Rais Samia kwa Kumtumbua Maharage wa TANESCO. Naomba apelekwe Mahakamani

Kwa hiyo mkurugenzi wa Habari Maelezo ndio atakuwa Salim Chikeke au?

Msigwa angekuwa Katibu Mkuu wa Habari pale Kwa Abbas harafu yule Abbas ndio aletwe huku michezo.
umepatia sana mkuu,
huyo ndie.
ndio tunakamilisha vetting hapa japo kuna mabishano kidogo kuhusu sifa stahiki
 
Kaletwa ttcl subirini mboreshewe ttcl

Sasa [emoji1]

Ova
 
Unamtoa Eng. Peter Ulanga TTCL unampeleka maharage???!!! What a joke??
 
Msigwa maneno mengi Acha azungumzie michezo sasa

Ova
 
Kamtumbua vipi wakati kampa cheo kwingine...
 
Watu mnachuki tu...hakuna mwenye uthibitisho wa tuhuma...hata huyu mpya baada ya miezi kadhaa mtamchukia tu...
 
Actually tatizo la umeme litaendelea kuwapo, hadi mwishoni mwa Febr.2024 pale ambapo tunategemea mzigo wa Jenereta tulioingiza nchini uishe. Store bado mzigo ni wa kutosha
Mzigo ukikaribia isha tunaagizia mwingine [emoji1] ndivyo wanavyosema
No kupoa mgawo upo tu

Ova
 
Kamtumbua na kumpa ukurugenzi kwengine [emoji1]

Ova
 
Ingekuwa China alipaswa kunyongwa mpaka kufa kabisa mshenzi mkubwa kaharibu shirika sana
 
Maharagwe nabmak.amba wapelekwe mahakaman
Kesi ya kuchezea na kufisadi nishati ya umeme wa nchi: uhujumu uchumi
 
Mambo yameharibika ndio akili zinawarudia. Tulishasahau mgao wa umeme alafu mnaturudisha huko kihuni tu. Nimefurahi mama kupeleka Meja Jenerali kuwa mwenyekiti bodi ya Tanesco.
Yaani samia kashtuka baada ya mambo kuwa yamehatibika kabisa ,suala la umeme limekuwa janga la kitaifa watanzania waliongea mwanzoni kuwa hao viongozi hawafai lakini samia akaziba masikio kama kawaida yake sasa yako wapi maji yamemfika shingoni kaishia kupanga na kupangua yani Tanzania itakuja kujuta kuwa na Rais wa hovyo namna hiyo
 
Watawala wa taifa hili sijui wanatuchukuliaje sisi wananchi wa taifa......haya ni matusi kwa umma wa waTanzania haya ni matusi kwa wapiga kura....haya ni matusi kwa walipa kodi wa taifa hili.......

Sasa mtu ame under perform sehemu fulani na sababu ya yeye kumtoa ni huko.....lakini unampeleka sehemu nyingine ili iweje.....

Ina maana taifa Zima halina watu wenye weledi na akili kufanya majukumu hayo isipokuwa yeye pekee.....kwanini asipumzishwe kuliko kuendelea kulitia hasara taifa hili......ndio naendelea kuamini watawala hawana uchungu wala huruma na taifa hili........ disgusting.......
 
Kwa hili la TTCL ni bora KUTENGUA na kumpeleka mwingine !!! Ni bora angempeleka Engineer Ulanga hapo ama kuweka mtu mwingine !!
 
Acha atafutiwe kula

Ova
🙂 🙂 🙂 ila ni bonge la blunder. TTCL haihitaji kuendeshwa na Mwanasiasa, atakayoenda kuyafanya Maharage yatakua worse kuliko ya Waziri Kindamba
 
Kwani yeye anaye teua na kutengua anafaa kushika wadhifa alio nao!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…