Asante Rais Samia kwa Kumtumbua Maharage wa TANESCO. Naomba apelekwe Mahakamani

Alijipanga upande wa fixed network, katizame mafanikio yake kwenye mradi wa FTTH, muda ni jaji mzuri tutampima maharage pia. Ki uhalisia project ya FTTH ndio mkombozi wa TTCL ila kama maharage atakuja na habari za mobile atafeli vibaya sana
Fafanua hiyo FTTH ni nini? Maana siyo kila mtu humu ni mtaalamu wa Telecommunications
 
Maharage katutesa sana Watanzania. Alikuwa anakata umeme kila anapojisikia ili biashara ya Jenereta itoke. Hii iwe fundisho. TISS na TAKUKURU hakikisheni haki inatendeka. Maharage apelekwe korokoroni au msafisheni kwamba hana Ufisadi Tanesco.

Rais Samia, hapa umeupiga mwingi. Mtumbue na Januari Makamba. Ili iwe fundisho.

Rais huwa yupo sahihi. Ila naomba nimshauri tena, TTCL inajifia, jamaa anaenda kuimaliza mazima. Nashauri asitupe jongoo na mti wake, bali ampeleke kuwa Afisa tawala Huko Nangurukuru. TTCL apewe Mhandisi Mujuni Kiyaruzi.

Pia kutumbua angeanza na Mhandisi Felchesmi Mramba sababu wanakula ni Msiri wa Maharage. Wanakula wote. Vizuri angevunja mnyororo mzima. Makamba, Maharage wametoka. Mramba je?

View attachment 2759156
Kazi tuwaachie TAKUKURU. Ipo hivi, Rais Samia kamuondoa pale ile TAKUKURU mfanye uchunguzi wenu kuhusu Ufisadi wake kwa Uhuru. Sasa kazi ni kwenu. Au mnasubiri hadi Rais Samia awaelekeze cha kufanya? Mpunguzieni mzigo.

Achaneni na kesi za dagaa za Elfu 50. Hawa wa MABILIONI ndo mukae nao sawa.

Pia soma;

Kama maharage ndio anamiliki call centre ya TANESCO akae pembeni kabla Waziri Biteko hajafika

Maharage wa TANESCO atimuliwa kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Biteko. Apewa siku tatu
Wakifanya hivyo nahamia Burundi
 
Wote wanaotuhimiwa kwa ubadhirifu wa mali za umma kuanzia kwenye ripoti ya CAG wapelekwe kwenye vyombo vya sheria. Tumbuatumbua bila hatua ya kisheria ni sawa na kulindana tu.
 
Mhandisi Pater Ulanga hukuwa mtu wa kupenda Media ila kazi nzuri uliyo ifanya TTCL ndani ya muda mfupi ita ishi.
 
WATANZANIA walipiga kelele nyingi sana baada ya januari na maharage na bodi mpya kuteuliwa wakapuuzwa sasa matokeo yameprove wamefeli vibaya nchi iko gizani

Aibu kwa samia na mamlaka yake ya uteuzi waliteuwa kimihemko badala ya kuangalia weledi ona sasa kamrudisha Mhandisi kuwa Mkurugenzi

Na bodi kaiweka Mwenyekiti mpya

Rais kakumbuka shuka wakati kumeshakucha.... apunguze kuziba masikio 😕
 
Vizuri angevunja mnyororo mzima. Makamba, Maharage wametoka. Mramba je?
Ni kweli, Mramba kubakia pale itakuwa ngumu hata TAKUKURU na TISS kufanya uchunguzi wo wote. Mramba ndiye alikuwa boss wa Maharage kiutendaji. Ikizingatiwa kuwa Mramba ni mhandisi wa umeme na Maharage ni mbumbumbu wa umeme, mambo mengi aliyofanya Maharage huko Tanesco atakuwa ameyafanya kwa maelekezo au baraka ya Eng. Mramba.

Ikumbukwe kuwa Mramba alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco kipindi cha awamu ya Kikwete iliyoshamiri ufisadi wa capacity charges na kukatika katika kwa umeme na janja janja nyingi. Awamu ya tano ilimutumbua Mramba na umeme uliacha kukatika katika. Awamu ya sita ilimrejesha Mramba kwenye sekta hiyo ya umeme, tena kumpa cheo kikubwa zaidi cha ukatibu mkuu. Ikampa Maharage kuwa msaidizi wake na Makamba kuwa waziri wake. Matokeo ya huo muunganiko ndiyo tuliyoyashuhudia kwa uchungu. Mrema apishe hapo au awajibishwe kwa yaliyotokea kwenye sekta hiyo ya umeme, yeye akiwa ndiye msimamizi mkuu mtendaji wa sekta hiyo. Apishe ili vyombo vya uchunguzi viweze kufanya kazi yake.
 
Maharage katutesa sana Watanzania. Alikuwa anakata umeme kila anapojisikia ili biashara ya Jenereta itoke. Hii iwe fundisho. TISS na TAKUKURU hakikisheni haki inatendeka. Maharage apelekwe korokoroni au msafisheni kwamba hana Ufisadi Tanesco.

Rais Samia, hapa umeupiga mwingi. Mtumbue na Januari Makamba. Ili iwe fundisho.

Rais huwa yupo sahihi. Ila naomba nimshauri tena, TTCL inajifia, jamaa anaenda kuimaliza mazima. Nashauri asitupe jongoo na mti wake, bali ampeleke kuwa Afisa tawala Huko Nangurukuru. TTCL apewe Mhandisi Mujuni Kiyaruzi.

Pia kutumbua angeanza na Mhandisi Felchesmi Mramba sababu wanakula ni Msiri wa Maharage. Wanakula wote. Vizuri angevunja mnyororo mzima. Makamba, Maharage wametoka. Mramba je?

View attachment 2759156
Kazi tuwaachie TAKUKURU. Ipo hivi, Rais Samia kamuondoa pale ile TAKUKURU mfanye uchunguzi wenu kuhusu Ufisadi wake kwa Uhuru. Sasa kazi ni kwenu. Au mnasubiri hadi Rais Samia awaelekeze cha kufanya? Mpunguzieni mzigo.

Achaneni na kesi za dagaa za Elfu 50. Hawa wa MABILIONI ndo mukae nao sawa.

Pia soma;

Kama maharage ndio anamiliki call centre ya TANESCO akae pembeni kabla Waziri Biteko hajafika

Maharage wa TANESCO atimuliwa kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Biteko. Apewa siku tatu
Uandishi wa haina hii hausaidii Takukuru wala tiss. Kama una fununu za wizi wa Maharage, Mramba na Makamba ungeliweka wazi ili hivyo vyombo vipate pahala pa kuanzia. Mbali na hapo hizi tuhuma ni jambo la kufikirika tu. Mwandishi aliyetoa tuhuma angalau za kufanyia uchunguzi ni yule aliyeandika habari za "call center".

Ni kweli kwa utendaji wa hovyo wa hawa jamaa walipaswa wapumuzishwe na si kupelekwa sehemu nyingine. Lakini katiba anayodai nyiye hamuijui inampa mamlaka ya kufanya apendavyo.
 
Maharage katutesa sana Watanzania. Alikuwa anakata umeme kila anapojisikia ili biashara ya Jenereta itoke. Hii iwe fundisho. TISS na TAKUKURU hakikisheni haki inatendeka. Maharage apelekwe korokoroni au msafisheni kwamba hana Ufisadi Tanesco.

Rais Samia, hapa umeupiga mwingi. Mtumbue na Januari Makamba. Ili iwe fundisho.

Rais huwa yupo sahihi. Ila naomba nimshauri tena, TTCL inajifia, jamaa anaenda kuimaliza mazima. Nashauri asitupe jongoo na mti wake, bali ampeleke kuwa Afisa tawala Huko Nangurukuru. TTCL apewe Mhandisi Mujuni Kiyaruzi.

Pia kutumbua angeanza na Mhandisi Felchesmi Mramba sababu wanakula ni Msiri wa Maharage. Wanakula wote. Vizuri angevunja mnyororo mzima. Makamba, Maharage wametoka. Mramba je?

View attachment 2759156
Kazi tuwaachie TAKUKURU. Ipo hivi, Rais Samia kamuondoa pale ile TAKUKURU mfanye uchunguzi wenu kuhusu Ufisadi wake kwa Uhuru. Sasa kazi ni kwenu. Au mnasubiri hadi Rais Samia awaelekeze cha kufanya? Mpunguzieni mzigo.

Achaneni na kesi za dagaa za Elfu 50. Hawa wa MABILIONI ndo mukae nao sawa.

Pia soma;

Kama maharage ndio anamiliki call centre ya TANESCO akae pembeni kabla Waziri Biteko hajafika

Maharage wa TANESCO atimuliwa kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Biteko. Apewa siku tatu
Japo nilikuwasi.pendi lakinini kweli tatizo la umeme litakuwa limemalizika?? Ni kichaa tu ndiye anaweza kuamini hilo!! Tatizo la umeme la Tanzania ni la wanasiasa
 
Back
Top Bottom