Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua hiyo FTTH ni nini? Maana siyo kila mtu humu ni mtaalamu wa TelecommunicationsAlijipanga upande wa fixed network, katizame mafanikio yake kwenye mradi wa FTTH, muda ni jaji mzuri tutampima maharage pia. Ki uhalisia project ya FTTH ndio mkombozi wa TTCL ila kama maharage atakuja na habari za mobile atafeli vibaya sana
Huduma Internet kupitia fiber majumbani kwa gharama nafuu.Fafanua hiyo FTTH ni nini? Maana siyo kila mtu humu ni mtaalamu wa Telecommunications
Wakifanya hivyo nahamia BurundiMaharage katutesa sana Watanzania. Alikuwa anakata umeme kila anapojisikia ili biashara ya Jenereta itoke. Hii iwe fundisho. TISS na TAKUKURU hakikisheni haki inatendeka. Maharage apelekwe korokoroni au msafisheni kwamba hana Ufisadi Tanesco.
Rais Samia, hapa umeupiga mwingi. Mtumbue na Januari Makamba. Ili iwe fundisho.
Rais huwa yupo sahihi. Ila naomba nimshauri tena, TTCL inajifia, jamaa anaenda kuimaliza mazima. Nashauri asitupe jongoo na mti wake, bali ampeleke kuwa Afisa tawala Huko Nangurukuru. TTCL apewe Mhandisi Mujuni Kiyaruzi.
Pia kutumbua angeanza na Mhandisi Felchesmi Mramba sababu wanakula ni Msiri wa Maharage. Wanakula wote. Vizuri angevunja mnyororo mzima. Makamba, Maharage wametoka. Mramba je?
View attachment 2759156
Kazi tuwaachie TAKUKURU. Ipo hivi, Rais Samia kamuondoa pale ile TAKUKURU mfanye uchunguzi wenu kuhusu Ufisadi wake kwa Uhuru. Sasa kazi ni kwenu. Au mnasubiri hadi Rais Samia awaelekeze cha kufanya? Mpunguzieni mzigo.
Achaneni na kesi za dagaa za Elfu 50. Hawa wa MABILIONI ndo mukae nao sawa.
Pia soma;
Kama maharage ndio anamiliki call centre ya TANESCO akae pembeni kabla Waziri Biteko hajafika
Maharage wa TANESCO atimuliwa kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Biteko. Apewa siku tatu
Ni kweli, Mramba kubakia pale itakuwa ngumu hata TAKUKURU na TISS kufanya uchunguzi wo wote. Mramba ndiye alikuwa boss wa Maharage kiutendaji. Ikizingatiwa kuwa Mramba ni mhandisi wa umeme na Maharage ni mbumbumbu wa umeme, mambo mengi aliyofanya Maharage huko Tanesco atakuwa ameyafanya kwa maelekezo au baraka ya Eng. Mramba.Vizuri angevunja mnyororo mzima. Makamba, Maharage wametoka. Mramba je?
Uandishi wa haina hii hausaidii Takukuru wala tiss. Kama una fununu za wizi wa Maharage, Mramba na Makamba ungeliweka wazi ili hivyo vyombo vipate pahala pa kuanzia. Mbali na hapo hizi tuhuma ni jambo la kufikirika tu. Mwandishi aliyetoa tuhuma angalau za kufanyia uchunguzi ni yule aliyeandika habari za "call center".Maharage katutesa sana Watanzania. Alikuwa anakata umeme kila anapojisikia ili biashara ya Jenereta itoke. Hii iwe fundisho. TISS na TAKUKURU hakikisheni haki inatendeka. Maharage apelekwe korokoroni au msafisheni kwamba hana Ufisadi Tanesco.
Rais Samia, hapa umeupiga mwingi. Mtumbue na Januari Makamba. Ili iwe fundisho.
Rais huwa yupo sahihi. Ila naomba nimshauri tena, TTCL inajifia, jamaa anaenda kuimaliza mazima. Nashauri asitupe jongoo na mti wake, bali ampeleke kuwa Afisa tawala Huko Nangurukuru. TTCL apewe Mhandisi Mujuni Kiyaruzi.
Pia kutumbua angeanza na Mhandisi Felchesmi Mramba sababu wanakula ni Msiri wa Maharage. Wanakula wote. Vizuri angevunja mnyororo mzima. Makamba, Maharage wametoka. Mramba je?
View attachment 2759156
Kazi tuwaachie TAKUKURU. Ipo hivi, Rais Samia kamuondoa pale ile TAKUKURU mfanye uchunguzi wenu kuhusu Ufisadi wake kwa Uhuru. Sasa kazi ni kwenu. Au mnasubiri hadi Rais Samia awaelekeze cha kufanya? Mpunguzieni mzigo.
Achaneni na kesi za dagaa za Elfu 50. Hawa wa MABILIONI ndo mukae nao sawa.
Pia soma;
Kama maharage ndio anamiliki call centre ya TANESCO akae pembeni kabla Waziri Biteko hajafika
Maharage wa TANESCO atimuliwa kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Biteko. Apewa siku tatu
Japo nilikuwasi.pendi lakinini kweli tatizo la umeme litakuwa limemalizika?? Ni kichaa tu ndiye anaweza kuamini hilo!! Tatizo la umeme la Tanzania ni la wanasiasaMaharage katutesa sana Watanzania. Alikuwa anakata umeme kila anapojisikia ili biashara ya Jenereta itoke. Hii iwe fundisho. TISS na TAKUKURU hakikisheni haki inatendeka. Maharage apelekwe korokoroni au msafisheni kwamba hana Ufisadi Tanesco.