Asante Rais Samia kwa kuruhusu usawa kwenye elimu

Mbona wenzao wanavaa hijabu, kofia na vilemba. Kwanini wao wabaniwe? Wewe unaona kuna usawa hapo?
Akuna walichobaniwa Suruali ni vazi la heshima kwa muislam na akuna muislam alielalamika kwenye hilo
 
Akuna walichobaniwa Suruali ni vazi la heshima kwa muislam na akuna muislam alielalamika kwenye hilo
Rudia tena kusoma uzi wangu utaelewa msingi wa hoja yangu mkuu. Hoja hii haiegemei kwenye UDINI bali imeegemea kwenye USAWA kwa wanafunzi shuleni na vyuoni.
 
Mkuu mimi hapa siongelei IMANI bali naongelea USAWA, hasa katika elimu. Umenipata?
Kama uongelei Imani kwanini umewaingiza Waislam? Umeshawai ona wamelalamikia swala hilo wewe si Muislam kwa nini usilete linalohusu dini yako tulijadili humu?
 
Kama uongelei Imani kwanini umewaingiza Waislam? Umeshawai ona wamelalamikia swala hilo wewe si Muislam kwa nini usilete linalohusu dini yako tulijadili humu?
Hili jambo nimelileta kwa mukdhata wa elimu ndio maana nimeliweka hapa kwenye jukwaa ambalo sio la kidini. Ingekuwa ni la kidini ungeliona pale kwenye jukwaa husika.
 
Aisee hili la kanzu na balaghashia limenichekesha sana.
Hapo sasa itakuwa ni kuchanga elim ahera na elim dunia pamoja 😂😂
 
Huo Waraka mbona ni wa tarehe 21 Januari, 2020 inakuaje unauhusianisha na Rais Samia??

Acha ukilaza, angalia tena tarehe ya Waraka na kisha uache chuki za kike dhidi ya Rais Samia.
 
Huo Waraka mbona ni wa tarehe 21 Januari, 2020 inakuaje unauhusianisha na Rais Samia??

Acha ukilaza, angalia tena tarehe ya Waraka na kisha uache chuki za kike dhidi ya Rais Samia.
Hee! Mkuu umenishangaza sana ujue! katika andiko langu ni wapi nimeleta chuki kwa Rais Samia? Unachekesha kweli!
 
Waki design kanzu fupi na kuvaa suruali kama vile shule za kiislamu wanavyovaa sidhani kama kutakuwa na shida yoyote mkuu.
Kiongozi shida itakuwepo maana wewe umesema lengo ni usawa, kama wanaona wanaupenda sana huo utamaduni basi waende kwenye hizo shule za kiislam, mbona simple tu
 
Kiongozi shida itakuwepo maana wewe umesema lengo ni usawa, kama wanaona wanaupenda sana huo utamaduni basi waende kwenye hizo shule za kiislam, mbona simple tu
je, na wamasai nao waende shule gani na lubega zao?
 
Kama unajua kusoma, huo waraka umeandikwa lini??
 
Huu ujinga usishangae siku mkaja waisilamu mkitaka wafungwa, wanajeshi, wacheza mpira nk wavae kanzu kuonyesha uislamu wao. Shuleni sio nyumba za ibada mtake kuonyesha mirengo ya imani zenu.
 
Kama unajua kusoma, huo waraka umeandikwa lini??
Uliandikwa siku za nyuma lakini implementation imeanza kufanyika awamu ya 6 chini ya Rais Samia.
 
Uliandikwa siku za nyuma lakini implementation imeanza kufanyika awamu ya 6 chini ya Rais Samia.
Utekelezaji mara baada ya waraka. Labda wewe ndo umejua leo.
 
Mkiendelea hivyo, mtaomba na kuvaa hereni na kusuka vijana wa kiume mashuleni
 
Mkiendelea hivyo, mtaomba na kuvaa hereni na kusuka vijana wa kiume mashuleni
Ilimradi haivunji haki yoyote ya mtu sidhani kama itakuwa vibaya mkuu. Ila kinachotakiwa tu ni kujenga usawa na ustawi ktk nchi pasipo kukanyaga haki wala furaha ya mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…