Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Wewe huna hoja bali una agenda zako binafsi tuHiv viwili tukivichanganya pamoja italeta maana zaidi mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huna hoja bali una agenda zako binafsi tuHiv viwili tukivichanganya pamoja italeta maana zaidi mkuu.
Hilo la watoto wa kirastafarians kupewa haki yao huko mashuleni ni jambo zuri na chanya sana katika kujali usawa katika kuabudu...lakini mazingira baada ya shule na katika soko la ajira hayaweki usawa Kwa Imani hii ya rastafari...kiasi kwamba ukiwa Rasta lazma ujiajiri...halafu mmea wetu mtakatifu Kila mahali unadhihakiwa na kuhusishwa na machizi, wahuni n.k.Habari wakuu! Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Leo nimeona waraka mzuri sana kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (MoEVT) unaoruhusu wanafunzi wenye imani ya Rastafali kuruhusiwa kuvaa kofia kufunika nywele zao kwani hiki kimekuwa kilio cha muda mrefu tangu serikali zilizotangulia. Hili limewezekana tu katika awamu hii ya sita inayoongozwa na Jemedali, Chifu Hangaya, Rais Samia Suluhu Hassan. Nakupongeza sana kwa kujali imani za watu unaowaongoza. Mama anaupiga mwingi jamani! Wenye roho mbaya mkajinyonge au msage sumu mnywe, tutakuatana mbinguni.
Lakini pamoja na pongezi hizi, nakuomba mama yangu Rais Samia uwaruhusu vijana wa kiislamu nao waweze kuvaa kanzu na baragashia ili kuondoa dhana ya upendeleo. Sio kwamba waislamu hatuna shukrani, la hasha! Tunakupongeza sana kwa kuruhusu mabinti wa kiislamu kuvaa hijabu wawapo mashuleni na vyuoni lakini tunasikitika watoto wa kiume hawaruhusiwi kuvaa kanzu na baragashia kwanini? Tatizo liko wapi?
Najua huenda wasaidizi wako wa chini ndio wanakushika miguu lakini nafahamu una uwezo wa kutoa amri leo na kesho Waziri wa Elimu akaandika waraka wa kuruhusu jambo hili kutekelezwa. Tunajua hushindwi kitu mama yetu kwani huwa unahakikisha watu wa imani zote wanatimiziwa matakwa yao bila kuathiri maslahi ya watanzania wengine. Kwa kuanzia nawaomba BAKWATA wapigie chapuo jambo ili liweze kufanikiwa haraka kuliko wanavyokaa kimya kana kwamba hawaoni tatizo.
Nina hakika baada ya waislamu kutimiziwa matakwa yao pia utatazama makundi mengine ya kijamii kama vile wamasai ili nao waruhusiwe kuvaa lubega na katambuga shuleni na vyuoni. Pamoja na kuwa utakuwa umewatendea haki wapiga kura wakao bila ubaguzi wowote, nina imani uvaaji wa vazi hili la kitamaduni utachangia kwa kiasi kikubwa kutangaza utalii wa kiutamadani (cultural tourism) kwani sekta ya utalii huliingizia taifa hili fedha nyingi za kigeni ambazo hutumika kujenga miundombinu ya umma kama vile SGR, Bwawa la Umeme la Nyerere, barabara na miradi mingi yenye manufaa kwa wananchi wote.
Nawasilisha.
Hakuna kufaulu hapo itakuwa ni mashindano ya majuba tu! Mnasemea kanzu lakini hamsemei kupata faradhi ya adhuhuri , alasiri na Ijumaa !!!??? Wawapo shuleni!Lakini wakiruhusiwa kuvaa shuleni na vyuoni italeta USAWA na kuwafanya wanafunzi kujisikia vizuri hata kufaulu kwenye masomo yao, na hili ni jambo zuri halina madhara yoyote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni kweli, na hiyo shule ichunguzwe, watoto wa primary wa kike na wa kiume analelewa na Matron si Patron sababu anakuwa bado ni wadogo.
Sasa hilo baba la kiume lilikuwa linawaleaje watoto under 13, na inawezekana hata mke halikuwa naye.
Nami kwa unyenyekevu naomba askari na wanajeshi wanawake waruhusiwe kuvaa hijabu pia askari wanaume wavae kanzu na makubazi.Habari wakuu! Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Leo nimeona waraka mzuri sana kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (MoEVT) unaoruhusu wanafunzi wenye imani ya Rastafali kuruhusiwa kuvaa kofia kufunika nywele zao kwani hiki kimekuwa kilio cha muda mrefu tangu serikali zilizotangulia. Hili limewezekana tu katika awamu hii ya sita inayoongozwa na Jemedali, Chifu Hangaya, Rais Samia Suluhu Hassan. Nakupongeza sana kwa kujali imani za watu unaowaongoza. Mama anaupiga mwingi jamani! Wenye roho mbaya mkajinyonge au msage sumu mnywe, tutakuatana mbinguni.
Lakini pamoja na pongezi hizi, nakuomba mama yangu Rais Samia uwaruhusu vijana wa kiislamu nao waweze kuvaa kanzu na baragashia ili kuondoa dhana ya upendeleo. Sio kwamba waislamu hatuna shukrani, la hasha! Tunakupongeza sana kwa kuruhusu mabinti wa kiislamu kuvaa hijabu wawapo mashuleni na vyuoni lakini tunasikitika watoto wa kiume hawaruhusiwi kuvaa kanzu na baragashia kwanini? Tatizo liko wapi?
Najua huenda wasaidizi wako wa chini ndio wanakushika miguu lakini nafahamu una uwezo wa kutoa amri leo na kesho Waziri wa Elimu akaandika waraka wa kuruhusu jambo hili kutekelezwa. Tunajua hushindwi kitu mama yetu kwani huwa unahakikisha watu wa imani zote wanatimiziwa matakwa yao bila kuathiri maslahi ya watanzania wengine. Kwa kuanzia nawaomba BAKWATA wapigie chapuo jambo ili liweze kufanikiwa haraka kuliko wanavyokaa kimya kana kwamba hawaoni tatizo.
Nina hakika baada ya waislamu kutimiziwa matakwa yao pia utatazama makundi mengine ya kijamii kama vile wamasai ili nao waruhusiwe kuvaa lubega na katambuga shuleni na vyuoni. Pamoja na kuwa utakuwa umewatendea haki wapiga kura wakao bila ubaguzi wowote, nina imani uvaaji wa vazi hili la kitamaduni utachangia kwa kiasi kikubwa kutangaza utalii wa kiutamadani (cultural tourism) kwani sekta ya utalii huliingizia taifa hili fedha nyingi za kigeni ambazo hutumika kujenga miundombinu ya umma kama vile SGR, Bwawa la Umeme la Nyerere, barabara na miradi mingi yenye manufaa kwa wananchi wote.
Nawasilisha.
Hoja za kipu.mbavu kama hizi ndo Watanzania wengi wenye akili ndogo kama huyu wanaweza!Habari wakuu! Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Leo nimeona waraka mzuri sana kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (MoEVT) unaoruhusu wanafunzi wenye imani ya Rastafali kuruhusiwa kuvaa kofia kufunika nywele zao kwani hiki kimekuwa kilio cha muda mrefu tangu serikali zilizotangulia. Hili limewezekana tu katika awamu hii ya sita inayoongozwa na Jemedali, Chifu Hangaya, Rais Samia Suluhu Hassan. Nakupongeza sana kwa kujali imani za watu unaowaongoza. Mama anaupiga mwingi jamani! Wenye roho mbaya mkajinyonge au msage sumu mnywe, tutakuatana mbinguni.
Lakini pamoja na pongezi hizi, nakuomba mama yangu Rais Samia uwaruhusu vijana wa kiislamu nao waweze kuvaa kanzu na baragashia ili kuondoa dhana ya upendeleo. Sio kwamba waislamu hatuna shukrani, la hasha! Tunakupongeza sana kwa kuruhusu mabinti wa kiislamu kuvaa hijabu wawapo mashuleni na vyuoni lakini tunasikitika watoto wa kiume hawaruhusiwi kuvaa kanzu na baragashia kwanini? Tatizo liko wapi?
Najua huenda wasaidizi wako wa chini ndio wanakushika miguu lakini nafahamu una uwezo wa kutoa amri leo na kesho Waziri wa Elimu akaandika waraka wa kuruhusu jambo hili kutekelezwa. Tunajua hushindwi kitu mama yetu kwani huwa unahakikisha watu wa imani zote wanatimiziwa matakwa yao bila kuathiri maslahi ya watanzania wengine. Kwa kuanzia nawaomba BAKWATA wapigie chapuo jambo ili liweze kufanikiwa haraka kuliko wanavyokaa kimya kana kwamba hawaoni tatizo.
Nina hakika baada ya waislamu kutimiziwa matakwa yao pia utatazama makundi mengine ya kijamii kama vile wamasai ili nao waruhusiwe kuvaa lubega na katambuga shuleni na vyuoni. Pamoja na kuwa utakuwa umewatendea haki wapiga kura wakao bila ubaguzi wowote, nina imani uvaaji wa vazi hili la kitamaduni utachangia kwa kiasi kikubwa kutangaza utalii wa kiutamadani (cultural tourism) kwani sekta ya utalii huliingizia taifa hili fedha nyingi za kigeni ambazo hutumika kujenga miundombinu ya umma kama vile SGR, Bwawa la Umeme la Nyerere, barabara na miradi mingi yenye manufaa kwa wananchi wote.
Nawasilisha.
Habari wakuu! Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Leo nimeona waraka mzuri sana kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (MoEVT) unaoruhusu wanafunzi wenye imani ya Rastafali kuruhusiwa kuvaa kofia kufunika nywele zao kwani hiki kimekuwa kilio cha muda mrefu tangu serikali zilizotangulia. Hili limewezekana tu katika awamu hii ya sita inayoongozwa na Jemedali, Chifu Hangaya, Rais Samia Suluhu Hassan. Nakupongeza sana kwa kujali imani za watu unaowaongoza. Mama anaupiga mwingi jamani! Wenye roho mbaya mkajinyonge au msage sumu mnywe, tutakuatana mbinguni.
Lakini pamoja na pongezi hizi, nakuomba mama yangu Rais Samia uwaruhusu vijana wa kiislamu nao waweze kuvaa kanzu na baragashia ili kuondoa dhana ya upendeleo. Sio kwamba waislamu hatuna shukrani, la hasha! Tunakupongeza sana kwa kuruhusu mabinti wa kiislamu kuvaa hijabu wawapo mashuleni na vyuoni lakini tunasikitika watoto wa kiume hawaruhusiwi kuvaa kanzu na baragashia kwanini? Tatizo liko wapi?
Najua huenda wasaidizi wako wa chini ndio wanakushika miguu lakini nafahamu una uwezo wa kutoa amri leo na kesho Waziri wa Elimu akaandika waraka wa kuruhusu jambo hili kutekelezwa. Tunajua hushindwi kitu mama yetu kwani huwa unahakikisha watu wa imani zote wanatimiziwa matakwa yao bila kuathiri maslahi ya watanzania wengine. Kwa kuanzia nawaomba BAKWATA wapigie chapuo jambo ili liweze kufanikiwa haraka kuliko wanavyokaa kimya kana kwamba hawaoni tatizo.
Nina hakika baada ya waislamu kutimiziwa matakwa yao pia utatazama makundi mengine ya kijamii kama vile wamasai ili nao waruhusiwe kuvaa lubega na katambuga shuleni na vyuoni. Pamoja na kuwa utakuwa umewatendea haki wapiga kura wakao bila ubaguzi wowote, nina imani uvaaji wa vazi hili la kitamaduni utachangia kwa kiasi kikubwa kutangaza utalii wa kiutamadani (cultural tourism) kwani sekta ya utalii huliingizia taifa hili fedha nyingi za kigeni ambazo hutumika kujenga miundombinu ya umma kama vile SGR, Bwawa la Umeme la Nyerere, barabara na miradi mingi yenye manufaa kwa wananchi wote.
Nawasilisha.
Sasa hapa tayari mbona maana ya sare imepotea mkuu?Hayo mambo mengine hua wanaweka kwasababu ya sheria za lazima na za haki ya kidini, mfano kama unashule yako huwezi mlazimisha sista kuvua kilemba pia kwa msichana wa kiislam huwezi mlazimisha avue hijabu labda usiwaruhusu kusoma ila kama utakubali itabidi ukubali.
Hapa huoni kwamba wale wakristo wasiopoenda kuvaa hijabu utakuwa umewakwaza kwa kiasi kikubwa?Pia kuna baadhi shule zina sheria zake kuhusu sare kama wasichana wanavaa hijabu jeupe basi ni wasichana wote wawe wakristo au dini yoyote ila tu zifanane.
Hili tayari ni tatizo mkuu. Huoni kwamba utakuwa unawakwaza wakristo kwa kuwalazimisha kuvaa kitu ambacho hawakipendi?Pia kuna baadhi shule zina sheria zake kuhusu sare kama wasichana wanavaa hijabu jeupe basi ni wasichana wote wawe wakristo au dini yoyote ila tu zifanane.
Na hapo hawajaingilia maswala ya dili bali ni sare kama ukiona mwanao hawezi kuvaa unampeleka unapohisi panaendana na sheria za sare unazotaka ili asijihisi kutengwa.
Mkuu ukifanya hivi utaibua mtafaruku mkubwa sana katika jamii. Utakuwa hujaleta USAWA wala kutatua tatizo lililopo.Kama ikitokea kukawa na uvaaji wa kanzu na barakashia basi itachaguliwa kama sare na kama itatokea rubega basi itachaguliwa kama sare na sio kila mmoja avae yake.
Kama itatokea uvaaji wa gaubuti basi itakua kiatu cha shule hicho.
Labda kwa elimu baada ya sekondari.Maana ya shule ni Uniform, hamuwezi kusema kila kijana aje na vazi lake sasa si itakuwa kama shule ni soko.
Imani si mavazi, imani ipo ndani ya roho ya kijana mwenyewe - panua uelewa. Kanzu watavaa wakienda misikitini.
tukianza kuleta mambo ya kiimani katika taasisi zetu za elimu huko mbeleni tutakuja kulia.ni bora mambo ya elimu yakaachwa kama yalivyo na yanayohusu imani za watu yakabaki kwenye taasisi za kidini.Habari wakuu! Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Leo nimeona waraka mzuri sana kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (MoEVT) unaoruhusu wanafunzi wenye imani ya Rastafali kuruhusiwa kuvaa kofia kufunika nywele zao kwani hiki kimekuwa kilio cha muda mrefu tangu serikali zilizotangulia. Hili limewezekana tu katika awamu hii ya sita inayoongozwa na Jemedali, Chifu Hangaya, Rais Samia Suluhu Hassan. Nakupongeza sana kwa kujali imani za watu unaowaongoza. Mama anaupiga mwingi jamani! Wenye roho mbaya mkajinyonge au msage sumu mnywe, tutakuatana mbinguni.