MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Nchi yako ipi mbona haumo kwenye baraza la mawaziri, wenye nchi yao wamesha ichukua wewe endelea kumlilia Mungu utachoka tu.Ila washauri hawana wisdom. Kuna vitu wanalazimisha watu waviamini hata kama haviko hivyo. Mungu isaidie nchi yangu
Amina...Tunza jibu lako hiliNchi yako ipi mbona haumo kwenye baraza la mawaziri, wenye nchi yao wamesha ichukua wewe endelea kumlilia Mungu utachoka tu.
Magu alikua jambazi, muuaji mporaji mkabila, bora hao mara mia, ni wezi ila wana utu.Wahuni wamerudi rasmi.
Wahuni 5 - Viroboto 0Wahuni wamerudi rasmi.
Ww ukae kwa kutulia nakumbuka ulishangilia sana kifo cha MaguWahuni wamerudi rasmi.
Sio bure! lazima kuna kitu ingine alikufanyia huko back sio kwa chuki hiziMagu alikua jambazi, muuaji mporaji mkabila, bora hao mara mia, ni wezi ila wana utu.
Yoyote atakayempinga Samia anacheza na Uhai wake. Samia ni Rais mpaka 2030.Hili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe?
Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna rangi utaacha kuona.
Ukitaka ahuzunike kwani yule ni Baba yakeWw ukae kwa kutulia nakumbuka ulishangilia sana kifo cha Magu
Mawaziri ni wasaidizi wa Rais unataka mumpangie rais wasaidizi wake [emoji23][emoji1787][emoji28] punguzeni makasiriko wafiwaNchi yako ipi mbona haumo kwenye baraza la mawaziri, wenye nchi yao wamesha ichukua wewe endelea kumlilia Mungu utachoka tu.
How?Katika siku ambazo nimewahi furahi sana ni leo. Nchi imerudi katika ubora wake. Ajira zitaanza kumwagika Kama kipindi Cha jk. Pesa au mzungo wa pesa utaanza kuonekana. Asante Sana mungu umetusikiliza wanyonge
Huyu hangaya ni mzigo kwa taifa.Hili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe?
Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna rangi utaacha kuona.