Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaingia huku sihasani kitambo, kwani ndugu yangu Stroke uko Sukuma gang au Wahuni hardblasters??Hizo ni fikra zao tu mkuu,
Ila wakati CCM inaundwa hao hawakuwepo
Historia inatuambia hivyo.
Hivyo wasikutishe mkuu,
Acha waruke ruke tu ila yote haya yana mwisho wake.
Mungu atatusaidia.
Hata magu mlisema ataongoza hadi 2030, lakini mwenye mamuzi yote akawaambia hapana.Yoyote atakayempinga Samia anacheza na Uhai wake. Samia ni Rais mpaka 2030.
Mkuu vipi mbona Stroke huyu sio yule wa kabla ya 17 March 2021? Naona sasa umeungana na watu wa upande wa pili uliokuwa unawabeza kabla ya 17 March 2021.Yote hiyo ni Mipango ya Mungu.
Wapo waliojiona Dunia nzima ni yao na kufikia hatua ya kujiona ni Miungu ila leo wamebakia Historia tu.
Hata hawa leo wanaojiona hii nchi ni yao ipo siku aliyopanga Mungu watabakia historia tu.
Tanzania itapumua bila wao.
Ipo siku na itakuja na wala haipo mbali sana.
Uhuru kamili upo karibu sana. Tutaupata tu.
Loo, yaani leo hii umebaki kunung'unika wakati ndio ulikuwa kinala wa kutetea MFUMO CHAMA DOLA CCM, lungu kalikamata (....... ) uone machungu yake. nchi bila upinzani wa kisiasa ndio kama unavyoiona. Sasa usilalamike tulia mfumo mlioutaka uendelee, nchi yetu sote.Yote hiyo ni Mipango ya Mungu.
Wapo waliojiona Dunia nzima ni yao na kufikia hatua ya kujiona ni Miungu ila leo wamebakia Historia tu.
Hata hawa leo wanaojiona hii nchi ni yao ipo siku aliyopanga Mungu watabakia historia tu.
Tanzania itapumua bila wao.
Ipo siku na itakuja na wala haipo mbali sana.
Uhuru kamili upo karibu sana. Tutaupata tu.
Yan ndugu wa marehemu mnatia huruma😀Hizo ni fikra zao tu mkuu,
Ila wakati CCM inaundwa hao hawakuwepo
Historia inatuambia hivyo.
Hivyo wasikutishe mkuu,
Acha waruke ruke tu ila yote haya yana mwisho wake.
Mungu atatusaidia.
Hizo ni fikra zao tu mkuu,
Ila wakati CCM inaundwa hao hawakuwepo
Historia inatuambia hivyo.
Hivyo wasikutishe mkuu,
Acha waruke ruke tu ila yote haya yana mwisho wake.
Mungu atatusaidia.
Atulie dawa imwingie vizuri, au siyo..Loo, yaani leo hii umebaki kunung'unika wakati ndio ulikuwa kinala wa kutetea MFUMO CHAMA DOLA CCM, lungu kalikamata (....... ) uone machungu yake. nchi bila upinzani wa kisiasa ndio kama unavyoiona. Sasa usilalamike tulia mfumo mlioutaka uendelee, nchi yetu sote.
Kwa nini mkuu?Ningeshangaa kama Ridhiwani angekosa.
Kwani yeye mwenyewe aliyewatosa anasemajeHili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe?
Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna rangi utaacha kuona.
Inaonekana una kitu, yaani kumalizana kwa sababu ipi hasa, unataka umpangie Rais watu wa kumsaidia ukiwa kama nani?,Sana mkuu, sasa hivi tunapoongea nchi iko hot, uslama wa taifa wanahaha , imagine wanavyohangaika kuhandle situation isiwaponyoke lakini its too late,nao pia wamo mfukoni mwa Jinga Kubwa, ndio maana hawajazuia huu uozo, hapa ni kumalizana tu, kieleweke,
Huyo ni masalia ya wasiojulikana, mkondo wa hela umekata,,,, wamekula hela sana wakizunguka nchi nzima na noah nyeusi, wakisaka watanzania wenzao utafikiri wanasaka digidigi... [emoji16]Loo, yaani leo hii umebaki kunung'unika wakati ndio ulikuwa kinala wa kutetea MFUMO CHAMA DOLA CCM, lungu kalikamata (....... ) uone machungu yake. nchi bila upinzani wa kisiasa ndio kama unavyoiona. Sasa usilalamike tulia mfumo mlioutaka uendelee, nchi yetu sote.
Wewe si mjinga hata elimu huna, kwani kumalizana wewe umeelewaje, ?Inaonekana una kitu, yaani kumalizana kwa sababu ipi hasa, unataka umpangie Rais watu wa kumsaidia ukiwa kama nani?,
Vyombo vya usalama, tafuteni hili gaidi, akiminywa kende atawataja wanaomtuma[emoji3][emoji3]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Jinyonge tu.Hili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe?
Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna rangi utaacha kuona.
Mungu kama yupo, na aibariki post hii iwe hai 2025. Amen!Hili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe?
Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna rangi utaacha kuona.
Makonda ilitakiwa saa hizi awe amekimbia yuko mbali sanaKooote,ila kumrudisha Nape relini Mama kaupiga kwa kisigino,au mwingi.
Nape umerudi wizara ile ile so kaanzie ulikoishia, jumatatu tafuta makabrasha ya ile kamati ya Balile uyaweke standby (clouds issue)
Umesahau ndege ya rais ilipoenda kumuokoa na kunyongwa!Ulitaka ardhi apewe Nani, Ridhiwani ujambazi wake Nini
Google historia ya Samia na Kikwete mkuu ndo utapata jibu!Kwa nini mkuu?