Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 974
- 2,106
Kabisa mkuu,nchi imerudi kwa watoto wa mjini,wale washamba wote hawapo sasahv tunarudi kipindi kilee cha Jk hela zinarudi tena mtaani.....Tulifanya kosa kubwa sana nchi kukabidhi nchi kwa washamba.Katika siku ambazo nimewahi furahi sana ni leo. Nchi imerudi katika ubora wake. Ajira zitaanza kumwagika Kama kipindi Cha jk. Pesa au mzungo wa pesa utaanza kuonekana. Asante Sana mungu umetusikiliza wanyonge