Asante sana Mbowe, umeibeba CHADEMA hadi sasa imekua. Kapumzike

[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji736][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka anastaafu ili 2025 awe mgombea wa urais.. Nimewaza hivi kulingana na kauli yake ya majuzi kuhusu kutokuwa na wagomea sahihi 2020...
 
Haendi popote huyo,eti tumpate mgombea mwenye vigezo ina maana hatoki hapo simple.
 
Nimependa sana kaanalysis kako enzi hizo siasa ilikuwa tamu, huyu anasema hiki upande wa pili anajibu, sisi kazi yetu ilikuwa SAA 2.00 usiku tunajazana kwenye TV kuona tambo hizo. Jiwe alitukosea sana, acha amalizNe na Muumba huko
 
Jiwe alivuruga mfumo mzima wa maisha ya kila siku ya watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…