Asante sana Polepole hili ulilozingumza leo ni zito sana umelisanua Taifa juu ya Chaguzi feki, na vyama feki

Asante sana Polepole hili ulilozingumza leo ni zito sana umelisanua Taifa juu ya Chaguzi feki, na vyama feki

Hii episode ya Polepole ya jana, itakuwa hai siku mpaka tupate mabadiliko ya kweli ya nchi yetu kwenye suala la uchaguzi. Kinyume cha hapo chaguzi hazina maana, hakuna mwananchi atakayezichukulia serious. Nchi itawekwa mikononi mwa wahuni siku zote. Usalama wa Taifa utadharaulika na kuonekana bogus wasioweza kulinda usalama hata wa kata.
Kiufupi alichokisema Polepole ni chachu ya mabadiliko ili kutengeneza Taifa la haki.

Viogozi wa dini acheni kupoteza muda kuombea uchaguzi, hatuna uchaguzi pale tuna kiini macho-Polepole
Kila siku mnaelezwa usalama wa taifa ni ndoto za bwana Kimweri.Wale madogo janja wa chama cha kijani(green guard) ndio usalama huo mnasema kila siku.Usalama jukumu lao kubwa sahivi ni kuja baa kutoa bastola na kuweka mezani na kutishana kizamani(unajua mimi ni nani?(hovyo kabisa))

JW msaada wenu tafadhari,fanyeni hii kazi ya kitume na Mungu atawabariki(Najua mtafanya hivyo ni suala la muda).Maana imeandikwa siku ya kuja kwa mwana wa Adamu,Jerusalemu itakuwa chini ya uangalizi(unabii lazima utimie)
 
IMG-20250822-WA0014.jpg
 
Kwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki.

Huu ujumbe wa Polepole uwafikie hata wanaCCM weweze kutafakari, waone kuwa wao wapo mle ndani ya chama kama rubber stamp tu ya kuwezesha ulaji wa wachache walioshika dola.Inabidi na wao wakasirike, waache kutumika kwa kanga, vitenge na baiskeli. Hili ni jambo kubwa, ni jambo zito.

Alichosema Polepole kinaupa uhalali msimamo wa NO REFORMS NO ELECTION wa CHADEMA. Utashirikije uchaguzi wakati tayari CCM ina connection kwenye taarifa za mpiga kura ndani ya iNEC?.
Ewe mwanaACT wazalendo, jitafakari uone kuwa kumbe hicho chama ulichomo ni project za watu ili kurahisisha waanzilishi wake kula pesa za wananchi kwa kufanya udalali wa Siasa?
Na kwako ewe Mtanzania. utapotezaji muda kushiriki chafuzi?.

Polepole leo kazungumza jambo zito sana, Hili jambo alilosema Polepole lisingefanikiwa kama Usalama wa Taifa ungelizuia, Kama haijalizuia maana yake ni kuwa hata Taasisi ya Usalama nayo imetumika kwenye kutengeneza mifumo feki ya siasa katika nchi hii. This is wrong!.

Asante sana Polepole kwa kulisanua hili jambo!
Umetimiza wajibu wako kwa Taifa.
Watz wanachotaka ni uhakika wa kutibiwa, kujamiiana, kucheza, kuvaa na kufurahia. Haya mambo ya mavyama vyama wala sio issue zao.
 
mkuu kama wewe umeamua kushabikia Chadema usilazimishe na wengine, ni chaguzi ngapi CHadema imeshashiriki? Je tume ilikuwa ina otafauti gani na hii? je nawao walikuwa project?
Usiwe kama ng'ombe hutaki kuelewa! Umeambia mifumo imeunganishwa lini? Je huoni kuwa kabla mifumo haijaunganishwa kulikuwa na uwezekano wa kulinda kura? Sasa baada ya kuunganisha mifumo kura zitalindwa vipi?
Screenshot_20250725-185609~2.png
 
Polepole ni tapeli tu kama alivyokua freman mbowe ukiwa na akili ndogo unaweza ukaona km ni watu wa maana ila km una akili timamu bas utajua tu polepole ni tapeli mwingne wa kisiasa na anatumika na Ccm

Kwa alichosema sizan km kuna kitu kipya kaongea ambacho mtu mwenye akili timamu hajawai Kukisikia ama kuhisi

Wizi wa kula ni kitu ambacho kila mtanzania mwenye akili timamu anajua
Vyama vya siasa vingi ni Ccm b ni kitu ambacho kinajulikana siku zote labda km ndo umeanza kufatilia siasa juzi

Mbowe,Mpina, wale covid, wote hao ni baadhi tu ya watu wa ccm walonivisha uwana mapinduzi
Matokeo yako ya kiswahili NECTA:
Kiswahili - F
Screenshot_20250725-185609~2.png
 
Wangapi wamamsikia? Kumsikiliza je!
Wamesema wao kuwa mitandaoni ni 16% tu ya popolation ya kupiga kura na Kati yao 40% wanaishi nje ya nchi hivyo hawana wasiwasi
Tuliosikia tumeelewa na tupo hapa hapa Tanzania. Ukiendesha gari la wizi na wakati unajua ni la wizi na watu wanajua unaendesha gari la wizi,nadhani hautakuwa na amani, labda isiwe binadamu wa kawaida. Busara siyo kujifanya hamnazo.
Sisiem wamejinasibu watashinda hata ukiwapigia wengine, ni dharau na kiburi cha hali ya juu sana.Mpaka siku ya uchaguzi kweli tutasikia mengi.
 
Ewe mwanaACT wazalendo, jitafakari uone kuwa kumbe hicho chama ulichomo ni project za watu ili kurahisisha waanzilishi wake kula pesa za wananchi kwa kufanya udalali wa Siasa?
ACT na CHAUMA ni miradi ya ccm, wananchi wote wanatakiwa kujua hili.

Wahenga walisema "huwezi kudanganya watu woote milele.."

Janja janja ya Jakaya na genge lake la wanamtandao imewekwa hadharani sasa
 
Tuliosikia tumeelewa na tupo hapa hapa Tanzania. Ukiendesha gari la wizi na wakati unajua ni la wizi na watu wanajua unaendesha gari la wizi,nadhani hautakuwa na amani, labda isiwe binadamu wa kawaida. Busara siyo kujifanya hamnazo.
Sisiem wamejinasibu watashinda hata ukiwapigia wengine, ni dharau na kiburi cha hali ya juu sana.Mpaka siku ya uchaguzi kweli tutasikia mengi.
Jamaa nchi na mifumo yake ni vya kwao na ndio maisha yao. Hakuna namna inawezekana kuwatenganisha na ushindi kwenye chaguzi zote.
 
Polepole amewasagia kunguni wahuni. Haya Sasa rudisheni mabilioni ya wahindi. Kumbe kile kibri ni kwa sababu mnauhakika 😂😂😂😂🤣🤣shame on Ccm.
 
Back
Top Bottom