Mbona mshono bado upo intactPolepole kapiga kwenye mshono

Haki haipatikani kwa kuwa bitter mitandaoni. Ingia road.Usiwageuze Watanzania kuwa ni mang'ombe, watanzania wanataka haki!
Hizi story. HazisaidiiUfunuo 22:12
"Tazama, naja upesi; na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo."
mbona mimi niko timamu na lazima octber nikatiki. Halafu akili timamu inapimwa na IQ au ufaulu darasni. Kumbuka prof kabudi alikuwa na first class udsm na mhongo alikuwa na first class lakini wote watatick october. Sasa wewe mwenye div four form four ndo unajiona unaakili?Kwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki.
Huu ujumbe wa Polepole uwafikie hata wanaCCM weweze kutafakari, waone kuwa wao wapo mle ndani ya chama kama rubber stamp tu ya kuwezesha ulaji wa wachache walioshika dola.Inabidi na wao wakasirike, waache kutumika kwa kanga, vitenge na baiskeli. Hili ni jambo kubwa, ni jambo zito.
Alichosema Polepole kinaupa uhalali msimamo wa NO REFORMS NO ELECTION wa CHADEMA. Utashirikije uchaguzi wakati tayari CCM ina connection kwenye taarifa za mpiga kura ndani ya iNEC?.
Ewe mwanaACT wazalendo, jitafakari uone kuwa kumbe hicho chama ulichomo ni project za watu ili kurahisisha waanzilishi wake kula pesa za wananchi kwa kufanya udalali wa Siasa?
Na kwako ewe Mtanzania. utapotezaji muda kushiriki chafuzi?.
Polepole leo kazungumza jambo zito sana, Hili jambo alilosema Polepole lisingefanikiwa kama Usalama wa Taifa ungelizuia, Kama haijalizuia maana yake ni kuwa hata Taasisi ya Usalama nayo imetumika kwenye kutengeneza mifumo feki ya siasa katika nchi hii. This is wrong!.
Asante sana Polepole kwa kulisanua hili jambo!
Umetimiza wajibu wako kwa Taifa.
Wengine Imani zetu tunafundishwa sana kuhoji.Kwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki.
Huu ujumbe wa Polepole uwafikie hata wanaCCM weweze kutafakari, waone kuwa wao wapo mle ndani ya chama kama rubber stamp tu ya kuwezesha ulaji wa wachache walioshika dola.Inabidi na wao wakasirike, waache kutumika kwa kanga, vitenge na baiskeli. Hili ni jambo kubwa, ni jambo zito.
Alichosema Polepole kinaupa uhalali msimamo wa NO REFORMS NO ELECTION wa CHADEMA. Utashirikije uchaguzi wakati tayari CCM ina connection kwenye taarifa za mpiga kura ndani ya iNEC?.
Ewe mwanaACT wazalendo, jitafakari uone kuwa kumbe hicho chama ulichomo ni project za watu ili kurahisisha waanzilishi wake kula pesa za wananchi kwa kufanya udalali wa Siasa?
Na kwako ewe Mtanzania. utapotezaji muda kushiriki chafuzi?.
Polepole leo kazungumza jambo zito sana, Hili jambo alilosema Polepole lisingefanikiwa kama Usalama wa Taifa ungelizuia, Kama haijalizuia maana yake ni kuwa hata Taasisi ya Usalama nayo imetumika kwenye kutengeneza mifumo feki ya siasa katika nchi hii. This is wrong!.
Asante sana Polepole kwa kulisanua hili jambo!
Umetimiza wajibu wako kwa Taifa.
Angalia uchaguzi mkuu wa 2020, Jinsi matokea ya kwanza ya,livyotolewa kibabe. Jimbo la Hai ndio la kwanza kutoa matokeo. How and why?mkuu kama wewe umeamua kushabikia Chadema usilazimishe na wengine, ni chaguzi ngapi CHadema imeshashiriki? Je tume ilikuwa ina otafauti gani na hii? je nawao walikuwa project?
Nyie mlioko kwenye kundi la waramba hasari; hatushangai msimamo wenu.mbona mimi niko timamu na lazima octber nikatiki. Halafu akili timamu inapimwa na IQ au ufaulu darasni. Kumbuka prof kabudi alikuwa na first class udsm na mhongo alikuwa na first class lakini wote watatick october. Sasa wewe mwenye div four form four ndo unajiona unaakili?
Kwaiyo huoni mwamba alivyo kasirika kutolewa kwenye biasharamkuu kama wewe umeamua kushabikia Chadema usilazimishe na wengine, ni chaguzi ngapi CHadema imeshashiriki? Je tume ilikuwa ina otafauti gani na hii? je nawao walikuwa project?
Wiki Jana chauma walivalisha watu t-shirt wengii kule tabata ktk mikutano, ingawa washangiliaji walikua kiduchu, Sasa baada ya taarifa hizi na waza hivin hata mtu akipewa t-shirt ya bure atavaa kweli?😁😁 Aibu Gani hii!ACT ya Zitto na Chaumma ya John Mrema zitaweka wapi sura zao huko mitaani?
Polepole kapiga kwenye kidonda kibichi. Hawana hamu, wanajifanya viziwi this time lazima wanatoka hadhalaniKwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki.
Huu ujumbe wa Polepole uwafikie hata wanaCCM weweze kutafakari, waone kuwa wao wapo mle ndani ya chama kama rubber stamp tu ya kuwezesha ulaji wa wachache walioshika dola.Inabidi na wao wakasirike, waache kutumika kwa kanga, vitenge na baiskeli. Hili ni jambo kubwa, ni jambo zito.
Alichosema Polepole kinaupa uhalali msimamo wa NO REFORMS NO ELECTION wa CHADEMA. Utashirikije uchaguzi wakati tayari CCM ina connection kwenye taarifa za mpiga kura ndani ya iNEC?.
Ewe mwanaACT wazalendo, jitafakari uone kuwa kumbe hicho chama ulichomo ni project za watu ili kurahisisha waanzilishi wake kula pesa za wananchi kwa kufanya udalali wa Siasa?
Na kwako ewe Mtanzania. utapotezaji muda kushiriki chafuzi?.
Polepole leo kazungumza jambo zito sana, Hili jambo alilosema Polepole lisingefanikiwa kama Usalama wa Taifa ungelizuia, Kama haijalizuia maana yake ni kuwa hata Taasisi ya Usalama nayo imetumika kwenye kutengeneza mifumo feki ya siasa katika nchi hii. This is wrong!.
Asante sana Polepole kwa kulisanua hili jambo!
Umetimiza wajibu wako kwa Taifa.
Hata alipokuwa na mav-8 eti?Polepole ni mtu na nusu...namkubali huyu jamaa kitambo sana...
Kwa kura zipi au za familia yako tu?Polepole kapiga kwenye kidonda kibichi. Hawana hamu, wanajifanya viziwi this time lazima wanatoka hadhalani
NyumbuKwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki.
Huu ujumbe wa Polepole uwafikie hata wanaCCM weweze kutafakari, waone kuwa wao wapo mle ndani ya chama kama rubber stamp tu ya kuwezesha ulaji wa wachache walioshika dola.Inabidi na wao wakasirike, waache kutumika kwa kanga, vitenge na baiskeli. Hili ni jambo kubwa, ni jambo zito.
Alichosema Polepole kinaupa uhalali msimamo wa NO REFORMS NO ELECTION wa CHADEMA. Utashirikije uchaguzi wakati tayari CCM ina connection kwenye taarifa za mpiga kura ndani ya iNEC?.
Ewe mwanaACT wazalendo, jitafakari uone kuwa kumbe hicho chama ulichomo ni project za watu ili kurahisisha waanzilishi wake kula pesa za wananchi kwa kufanya udalali wa Siasa?
Na kwako ewe Mtanzania. utapotezaji muda kushiriki chafuzi?.
Polepole leo kazungumza jambo zito sana, Hili jambo alilosema Polepole lisingefanikiwa kama Usalama wa Taifa ungelizuia, Kama haijalizuia maana yake ni kuwa hata Taasisi ya Usalama nayo imetumika kwenye kutengeneza mifumo feki ya siasa katika nchi hii. This is wrong!.
Asante sana Polepole kwa kulisanua hili jambo!
Umetimiza wajibu wako kwa Taifa.
Zitto , Mbowe, Mtikila wamekuwa kwenye payroll ya System na Rostam ambaye ni kiongozi wa Wanamtandao siku nyingi sana.Zitto kumbe alikuwa ni CEO wa project ya wanamandao!
Ni muda muafaka Wazanzibari waanzishe chama chao, ACT hii ambayo ni tawi la wnamtandao haiwezi kuwafikisha kupata Zanzibar yenye mamlaka kamili.