Asante sana Polepole hili ulilozingumza leo ni zito sana umelisanua Taifa juu ya Chaguzi feki, na vyama feki

Asante sana Polepole hili ulilozingumza leo ni zito sana umelisanua Taifa juu ya Chaguzi feki, na vyama feki

Ndio maana wasira alisema kuwa CCM aitatoka madarakani hadi yesu atakaporudi! Kumbe alikua anajua uhuni uliofanyika. Mungu atawahukumu wote wanaodhulumi uchaguzi.
Watu wanapambania CCM siyo kwamba wanaipenda isipokuwa wanajua uhuni wote
 
Ghafla Chaumma kurusha chopa nchi nzima,Mgombea wa ACT kuvaa tisheti ya Magufuli,
Asante Polepole kwa kutusanua,japo tulishawastukia hawa CCM B mapema sana
 
Hili swala lipo siku nyingi. Lilianza kushutukiwa kwa kura vituoni kuwaumbua, na kujihami polisi wakazuia watu kukaa vituoni baada ya kupiga kura. Mwaka huu wamejihami zaidi kwà kuzuia simu ili wasipige pichà matokeo.
 
Ndio maana wasira alisema kuwa CCM aitatoka madarakani hadi yesu atakaporudi! Kumbe alikua anajua uhuni uliofanyika. Mungu atawahukumu wote wanaodhulumi uchaguzi.
Mhuni yule,Sasa Yesu anarudi kupitia Polepole,wajiandae kutoka madarakani
 
Polepole ni tapeli tu kama alivyokua freman mbowe ukiwa na akili ndogo unaweza ukaona km ni watu wa maana ila km una akili timamu bas utajua tu polepole ni tapeli mwingne wa kisiasa na anatumika na Ccm

Kwa alichosema sizan km kuna kitu kipya kaongea ambacho mtu mwenye akili timamu hajawai Kukisikia ama kuhisi

Wizi wa kula ni kitu ambacho kila mtanzania mwenye akili timamu anajua
Vyama vya siasa vingi ni Ccm b ni kitu ambacho kinajulikana siku zote labda km ndo umeanza kufatilia siasa juzi

Mbowe,Mpina, wale covid, wote hao ni baadhi tu ya watu wa ccm walonivisha uwana mapinduzi
Mhuni wewe,kama ulikuwa unajua alichosema Polepole mbona hukuwasanua watanzania?
 
Zitto kumbe alikuwa ni CEO wa project ya wanamandao!

Ni muda muafaka Wazanzibari waanzishe chama chao, ACT hii ambayo ni tawi la wnamtandao haiwezi kuwafikisha kupata Zanzibar yenye mamlaka kamili.
Kwahiyo marehemu maalim seif walimlsghai au hakufanya tafit vizuri chama cha kujiunga nacho akaingia mkenge.
 
mkuu kama wewe umeamua kushabikia Chadema usilazimishe na wengine, ni chaguzi ngapi CHadema imeshashiriki? Je tume ilikuwa ina otafauti gani na hii? je nawao walikuwa project?
We nawe huna akili, kwani huu mfumo ulianza lini?!
Kila zama na kitabu chake, miaka ya nyuma kabla ya mfumo huu wa NIDA walikuwa wanaibiwa kitofauti...hasa kura feki!.
 
Kwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki.

Huu ujumbe wa Polepole uwafikie hata wanaCCM weweze kutafakari, waone kuwa wao wapo mle ndani ya chama kama rubber stamp tu ya kuwezesha ulaji wa wachache walioshika dola.Inabidi na wao wakasirike, waache kutumika kwa kanga, vitenge na baiskeli. Hili ni jambo kubwa, ni jambo zito.

Alichosema Polepole kinaupa uhalali msimamo wa NO REFORMS NO ELECTION wa CHADEMA. Utashirikije uchaguzi wakati tayari CCM ina connection kwenye taarifa za mpiga kura ndani ya iNEC?.
Ewe mwanaACT wazalendo, jitafakari uone kuwa kumbe hicho chama ulichomo ni project za watu ili kurahisisha waanzilishi wake kula pesa za wananchi kwa kufanya udalali wa Siasa?
Na kwako ewe Mtanzania. utapotezaji muda kushiriki chafuzi?.

Polepole leo kazungumza jambo zito sana, Hili jambo alilosema Polepole lisingefanikiwa kama Usalama wa Taifa ungelizuia, Kama haijalizuia maana yake ni kuwa hata Taasisi ya Usalama nayo imetumika kwenye kutengeneza mifumo feki ya siasa katika nchi hii. This is wrong!.

Asante sana Polepole kwa kulisanua hili jambo!
Umetimiza wajibu wako kwa Taifa.
Polepole ameeleza wazi kuwa upinzani halisi ni Chadema na Lissu.
Wengine wote ni project.
 
Sisi tusio na Kitambulisho cha kupiga kura lakini tuna NIDA, usikute tumeshashiri chaguzi zote zilizopita bila kujua...

"Kura" zetu zilitiki CCM na wamba wakashinda dadadekiiii
Hata October watatutikisha!
 
Kila siku mnaelezwa usalama wa taifa ni ndoto za bwana Kimweri.Wale madogo janja wa chama cha kijani(green guard) ndio usalama huo mnasema kila siku.Usalama jukumu lao kubwa sahivi ni kuja baa kutoa bastola na kuweka mezani na kutishana kizamani(unajua mimi ni nani?(hovyo kabisa))

JW msaada wenu tafadhari,fanyeni hii kazi ya kitume na Mungu atawabariki(Najua mtafanya hivyo ni suala la muda).Maana imeandikwa siku ya kuja kwa mwana wa Adamu,Jerusalemu itakuwa chini ya uangalizi(unabii lazima utimie)
Kama huo usalama umetiwa mfukuni, basi hilo jeshi ndo lilishatiwa mfukoni kitambo sana. Asikudanganye mtu, JK aliharibu kabisa hii nchi. Uongozi wake ni kama uliikabidhi nchi rasmi kwa mafisadi na wala rushwa.
 
Back
Top Bottom