BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Hata wewe hatukujui tu sura ila nadhani utakuwa kila anapokuwa mboweHili ni lazima liwekwe wazi, kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile, hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM, Hili halikubaliki.
Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii, ana cheo gani na alichaguliwa na nani?
Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama, kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo?
TUMESTUKA!
View attachment 2773641
IRINGA mjini au vijijin?Acha ushamba hapo ni Kitonga na Asas ni mbunge wa Iringa na mkazi na mwekezaji pia acheni chuki za kijinga
Wa chalinzeNani kamuolea mwenzake ?
Kwamba hata Mbowe alipokuwa jela nilikuwepo ? si kweli bhanaHata wewe hatukujui tu sura ila nadhani utakuwa kila anapokuwa mbowe
Wacha weee !! ndio ile nyumba ndogo tuliyosimuliwa ?Wa chalinze
Asas huyo ,dawa yake msigwa nyama ndogo mchuzi mzitoHili ni lazima liwekwe wazi, kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile, hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM, Hili halikubaliki.
Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii, ana cheo gani na alichaguliwa na nani?
Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama, kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo?
TUMESTUKA!
View attachment 2773641
Atajiunga na ACT.Sasa Tajiri Gani mwenye akili timamu ataungana na nyinyi chadema au wenzenu kina Mwabukusi, Mdude au Wilbroad Slaa?
Muwatie Nuksi?
ππππAtajiunga na ACT.