Asas ni nani kwenye Serikali ya awamu 6, mbona ni kimbelembele sana kwenye ziara za viongozi?

Hili ni lazima liwekwe wazi, kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile, hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM, Hili halikubaliki.

Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii, ana cheo gani na alichaguliwa na nani?

Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama, kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo?

TUMESTUKA!

View attachment 2773641
Hata wewe hatukujui tu sura ila nadhani utakuwa kila anapokuwa mbowe
 
Hili ni lazima liwekwe wazi, kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile, hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM, Hili halikubaliki.

Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii, ana cheo gani na alichaguliwa na nani?

Anajipendekeza ili kuficha uchafu gani kwenye eneo hilo lenye mbuga kadhaa za wanyama, kwanini ni yeye tu hakuna Wakinga au Wahehe Wafanyabiashara hapo?

TUMESTUKA!

View attachment 2773641
Asas huyo ,dawa yake msigwa nyama ndogo mchuzi mzito

Enzi za uchaguzi humwaga pesa Sana asas mwisho hudondokea pua
 
Back
Top Bottom