Asec Momosas 0 -0 Wydad CAF Champions League | 02-12-2023

Kule kwa jwaneng na aisec na wao watacheza mechi mbili mfululizo za wao kwa wao.

Wote wana point 4.. mechi zao mbili atakaeshinda anafuzu. Bila kurudiana na simba ama waydad
Asec na Jwaneng waachiane point point

Kila mmoja ashinde kwakwe ili kila mtu apate point 3

Hivyo wote wafikishe point 7

Wydad na Simba wapambane kivyao

Aahaaaa
 
Wakiweza kufanya hivi watafuzu, ila wapambane kweli kweli
 
Hivi unataka baleke afunge hatrick ilihali wachezaji anaoanza nao mechi ni kina Onana,Saido na kibu .Wachezaji ambao haeatengenezi nafasi kwa striker wala hawana maamuzi mazuri wanapokuwa ktk final third.

Chama ambaye alikuwa akipika mabao mengi ya Simba msimu uliopita ndio huyu anayeingia uwanjani ktk dk ya 70 huku striker akiwa kachoka ama katolewa. Unategemea striker atafanya miujiza gani?
 
Kule kwa jwaneng na aisec na wao watacheza mechi mbili mfululizo za wao kwa wao.

Wote wana point 4.. mechi zao mbili atakaeshinda anafuzu. Bila kurudiana na simba ama waydad
Jwaneng na Assec mmoja lazima aende robo, na kat ya simba na wydad mmoja lazima aende robo.

Kivumbiii leo
 
Jana nilishauri weka Chama, Phiri na Luis pale mbele utaona maajabu tena waanze siyo unawaingiza dakika ya 80. Tunafanya mambo yanakuwa magumu bila sababu ya msingi.
Saidoo asicheze, akicheza n dkk 45 tyuuh.
Kocha anatufelisha.
 
Li Saidooo hili mbna hamlitaji, lenyewe linafanya nn kwan? Si kujiangusha hovyoo tyuuh.
Linaboaa
 
Usijitoe ufahamu, suala siyo anacheza na nani, Baleke alipokuja Simba ilikuwa nafasi moja tu anakuliza, na alipokuwa anafunga hizo hattrick alikuwa anacheza na hao hao kina Kibu na Saido. Chama ameanza kufanyiwa sub mechi kama 2 tu zilizopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…