Asee Wazee wenzangu tunaofikisha umri wa miaka 40+ mwaka huu na hatuna any direction njooni hapa tu jadiliane

Asee Wazee wenzangu tunaofikisha umri wa miaka 40+ mwaka huu na hatuna any direction njooni hapa tu jadiliane

Nipo 40+ ila siwezi KUKIRI sina mbele wala nyuma maadam nina afya I'll keep on fighting.
Nina changamoto zangu na nyumba sina ila NAPAMBANA!!

Ntakuwa napitia uzi huu kujua unaendeaje but I will take no part of it.

I WILL NEVER BACK DOWN!!!!!
 
Kama uzi unavyojieleza njooni tujadili changamoto na njia za kuweza kujikwamua na hii hali,
Hali ni mbaya saana

Uzi tayari.
Japo mimi sio mzee ila naweza nikashauri kitu...

Niliajiriwa nikiwa na miaka 25, japo kipato Ni kidogo ila kinatosha kuanzia,

Miaka mitatu ya kwanza kwenye ajira sikufanya chochote Cha maendeleo zaidi ya kufuja hela.

Nikiwana miaka 28 Nilioa ghafla(sababu zilizonifanya nioe ni sio classified ila zinatakiwa ziwe kwenye uzi wake) nilipata wife material sikuwa nimejipanga kuoa na Wala mambo yangu hayakuwa poa.

Baada ya kuoa safari ya mafanikio ndo ikaanza saivi Niko na miaka 30 nina mke na mtoto japo hela nyingi Sina ila kwenye safari ya mafanikio kwenye Kona na drift napita na speed 120.

Hivyo wazee oeni ufala utawapungua na itawasaidia kuwa na focus.
 
Kama uzi unavyojieleza njooni tujadili changamoto na njia za kuweza kujikwamua na hii hali,
Hali ni mbaya saana

Uzi tayari.
Hata kufyatua tofali za kuchoma,kupanga milonge,minyonyo,kulima mbaazi,karanga,kufuga nyuki,kulima muhogo,kukata mkaa, kufungua kijiwe cha kukusanya taka za plastic na screpa umeshindwa mzee mwenzangu.
 
Japo mimi sio mzee ila naweza nikashauri kitu...

Niliajiriwa nikiwa na miaka 25, japo kipato Ni kidogo ila kinatosha kuanzia,

Miaka mitatu ya kwanza kwenye ajira sikufanya chochote Cha maendeleo zaidi ya kufuja hela.

Nikiwana miaka 28 Nilioa ghafla(sababu zilizonifanya nioe ni sio classified ila zinatakiwa ziwe kwenye uzi wake) nilipata wife material sikuwa nimejipanga kuoa na Wala mambo yangu hayakuwa poa.

Baada ya kuoa safari ya mafanikio ndo ikaanza saivi Niko na miaka 30 nina mke na mtoto japo hela nyingi Sina ila kwenye safari ya mafanikio kwenye Kona na drift napita na speed 120.

Hivyo wazee oeni ufala utawapungua na itawasaidia kuwa na focus.
Hapo kwenye kuoa utaponza watu wanawake wa miaka 1980 sio sawa na hawa 1990
 
Ukiwa na mafanikio halafu huna familia hakika huwezi furahia mafanikio yako pekeyako,

Ukiwa na familia na unaweza kuitunza hata usipo fanikiwa Sana hakika utaishi maisha ya furaha.
Mimi nilichukua jiko nikajua nikipata mke labda makali ya maisha yatapungua, nikamchukua nikamuweka nyumban, Mama alinipa chumba kimoja sasa changamoto baba mkwe alikuwa anataka nimpe pesa kama sina hela niende nikamlimie mashamba yake zilikuwa heka 4
basi nilikomaa kulima mpk nikamaliza, lakin mikono yote iliota sugu balaa na nyumban bado wanahitaj kitu, nikaona isiwe kes nikamrudisha mtoto wa watu kwao mpk pale mambo yatakapo kaa sawa
but mapambano yanaendelea ......
 
Back
Top Bottom